Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Ni mambo ya "matako kulia mbwata" tu hayo.

Wenye magari ya kweli wenyewe hata utawasikia kuanzisha uzi wa aibu kama huu basi?

Ndo kwanza wanawaza kununua ndege wasikutane na wajinga wajinga barabarani!
IMG_20170601_065227.jpeg
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Unalilia geneza linalotembea? Bora mjengo kuliko gari ... mjini hakuna baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba.
 
Unalilia geneza linalotembea? Bora mjengo kuliko gari ... mjini hakuna baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba.
Hawa waliozaliwa bila kuwa hata na punda wa kijiji wakipata magari inakuwa shida sana.

Wakati hawajui gari ni kitu watu wanabadilisha kama mashati bila hata mbwembwe.

Kwa sababu ni chombo cha usafiri tu.

Ila kwa hawa, gari ni status symbol.
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Unachekesha aisee. Unawatia aibu "ma dr" wenzio
 
Hawa malofa waliozaliwa bila kuwa hata na punda wa kijiji wakipata magari inakuwa shida sana.

Wakati hawajui gari ni kitu watu wanabadilisha kama mashati bila hata mbwembwe.

Kwa sababu ni chombo cha usafiri tu.

Ilakwa malofa hawa, gari ni status symbol.
Ulemavu wa fikra ndo unawasumbua ... kitu ardhi kila kukicha thamani inapanda, gari kila siku inaelekea kwenye u-scrapper ... utoto unawasumbua.
Mfano hai ni huu ...
Ardhi nilonunua Tshs. 280,000/= mwaka 1998, sasa hivi nafuatwa na watu wakiwa na cash Tshs. 17,000,000/= Nawajibu kuwa siuzi .. walonunua vigari hawakumbuki hata scrapper waliuza wapi.
 
Uwanaume ni maumbile ya jinsia na sio kumiliki gali wala meli
 
Watu wametokwa povu balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gari sio jipao pele changu, Nawaza kuwa inventory
 
Uwanaume ni maumbile ya jinsia na sio kumiliki gali wala meli
Jidanganye tu. MWANAUME ni kila kitu. Uwe na elimu na nyumba na gari na simu i phone sio tecno au huawei au Samsung za waha
 
Kuna signature humu inakujibu kuwa hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba. Gari kweli ni sifa?
Hakuna gari linalonunuliwa kwa matoleo ni cash tu hata kama ni mkopo nasisitiza utatoa cash m4 ....m15 nakuendelea ,mwisho muheshimu mwenye gari tho nyumba ni muhimu
Ha ha ha ha
 
Tatizo siyo kuwa na gari,tatizo ni kulihudumia hilo gari na ukizingatia hayo tunayoyaita magari kwetu sisi huku dunia ya tatu ni used used cars alafu eti tunaziita ni mpya na tunazipa namba D sijui E baadaye wakati huko japan washazitupa,sasa wewe gari limetumika Japan 10 years wewe huku bongo unasema ni jipya nitaendelea kupanda mwendo kasi mpaka niwe na uwezo wa kuagiza gari 0 km .
Mmh gari 0km kweli wewe bandu bandu subiri utaliendeshea kaburini na usawa huu wa Ngosha
 
Back
Top Bottom