Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Eeeeeeeeeeeeh, kumbe kipimo cha Dume zima ni Kuwa na gari, je kama mtu anamiliki Nyumba za Kutosha na miradi? mie nahisi we uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo
Tambo zoote hizo yuko nyumba ya kupanga , kulipia tu umeme na maji ni mbinde, humu Jf anajiita kidume
 
Nikipita na gari hata ww sikutongozi. Unajaa mwenyewe kwenye kumi na tisa zangu
Ntakuwa wa kwanza kujaa kwenye kumi na tisa zako. Omba nisikuguse maana ukiguswa na mimi inakuwa zamu yako kujaaa mwenyewe kwenye asilimia mia zangu.
 
Ntakuwa wa kwanza kujaa kwenye kumi na tisa zako. Omba nisikuguse maana ukiguswa na mimi inakuwa zamu yako kujaaa mwenyewe kwenye asilimia mia zangu.
Ungekuwa unatumia hizo ngonjera kutafuta hela. Ungelinisapoti now
 
NAOMBA NICHEKE KDG
hiv mwanaume kutokua na Gari ww inakuuma nn? unataka lift? n matter of priorities. Hana gari akaamua awe na private jet au boat. Au umekariri kutokua na Gari basi n umaskin.
Anataka mumpe lift!
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu

Wakati unaweka picha hizi!Ficha namba please
 
Itakuwa ngumu kutofautisha uelewa wako na wababa yako! Labda kama wewe ni mtoto wa mchepuko!
 
Jamaa ana vibweka huyu. Juzi kaja pm anaomba buku la bando. Eti saa hizi anaonesha picha za magari ya jirani!
 
Back
Top Bottom