Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,603
![]()
![]()
Wacha tukae pembeni mumy tule popcorn pamoja huku tunaangalia wenye magari yao.
![]()
![]()
![]()
Aaah kwakweli, na wenye mapovu yao.
![]()
![]()
Wacha tukae pembeni mumy tule popcorn pamoja huku tunaangalia wenye magari yao.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaah kwakweli, na wenye mapovu yao.
kweli kabisa wale ambao mada itakuwa imewagusa kwa upande mwingine![]()
kweli kabisa wale ambao mada itakuwa imewagusa kwa upande mwingine
Kaa na mashine yako wakati hawara yako akituona wenye magari analowa hata kabla sijamtongoza.acha kuvikiria kwa kutumia mat*ko tumia akili. we umeambiwa wabebez wote wanataka magari uber kibao zimejaa mjini, kingine mwanaume mashine
Dr. H. Rweyemamu angalia jina ndiyo ujue anaongea mtu wa aina ganiEeeeeeeeeeeeh, kumbe kipimo cha Dume zima ni Kuwa na gari, je kama mtu anamiliki Nyumba za Kutosha na miradi? mie nahisi we uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo
ni kweli kabisa .No wonder unaitwa certified hater. Una degree ya kuchukia wenye magari. Utakufa siku si zako