Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Mheshimiwa umeamua kuchekesha watu au upo serious???
 
Rweyemamu..... Hahahaaa.. Nilipoona hilo jina tu, nikashusha pumzi.... Sawa Mkuu.
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Huyo aliyening'inia kwenye daladala lazima atakuwa wewe.
 
wp_ss_20170530_0002.png
 
Mijitu mingine akili zao ni kama vile wamekoswakoswa na risasi
 
nimelipenda jina la mwisho hilo rweyemamu na thread yako vinafanana
 
Rudi shule mtoa mada..,, Ordinary Africans ni maskini wa kutupa kwa sababu tu hawajui nini tofauti ya ASSETS na LIABILITY.., Gari ni liability which draws money out of yur pockets daily, so sawa kabxa na anayelipia public transport ( daladala, treni, n.k)...!! We expect to save as much as we can in any of our expenditure..!

Mtoa mada ka sio dem bhas ni kina J. Delicious..!! Coz hawa ndo watu wasio na malengo kbxa maishani., wanapenda starehe za muda mfupi,, Kwixh ney..
 
Asilimia kubwa wenye mawazo kama haya wamepanga,mna kauri mbiu Gar kwanza,matokeo yake unagongea parking,bora ungesema Nyumba na siyo Gari ni ziada ila siyo lazima
 
Back
Top Bottom