Hahahahahahaaa..em ngoja niishie hapa tu . haya mapovu niliyo nayo si mchezo
Kwa kweli...Kaa na mashine yako wakati hawara yako akituona wenye magari analowa hata kabla sijamtongoza.
Katika vitu nisivoviwazia kuvifanya maishani mwangu ni kuwa na Gari..
sioni ule uhitaji wa gari saana kwa upande wangu, ntabanana mwendokasini mpaka basi, siwezi kuacha kufanya mambo ya msingi nikanunue gari, yani halina kipaumbele kabisa kwangu.

![]()
![]()
![]()
![]()
Maana hata piki piki kuna za wanaume rijali na za waha!! Sijui waha hakuna marijali!!!

Umeona watu wakiguswa walivyo na maneno.Wallahi huu uzi unachekesha. Hatari sana.

Tufanye fanye basi aunt yake na sisi tuchangishane tununue kagariHapana, nipo tu busy nanukisha watu vijasho kwenye daladala haha

Hebu mjitahidi mnipe lift.Tufanye fanye basi aunt yake na sisi tuchangishane tununue kagari![]()
![]()
![]()
![]()