Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Kila mtu maishani mwake ana kipaumbele chake. Kwahiyo mtoa mada usitushinikize kukipenda hicho unachokipenda wewe.
 
wasio na magari watakutolea mapovu humu hadi uzimie.......( hata mie sina hata baskeli)
 
Tunajua kabila lako mnapenda sifa

Kumiliki gari sio ultimate goal of life. Mwanamke hatulizwi na gari, kama tabia yake ni ya kichangu hata umpatia ndege atakua changu tu.

Shut tha phuck up!
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
sifa za kijinga
 
Waweza kuona kwako kuwa na gari ni starehe mwingine akaona starehe kuu kwake awe na mifugo mingi mwingine akaona hapana starehe kuu kwake ziwe nyumba nyingi.
Kila MTU ana Furaha yake sasa wewe kichwani mwako unadhani kuwaza,kufikiri na kutenda ni safe kwa wote.Rudi memkwa kasome upya.
 
mm napanda treni kbsa la dar to pugu gar nakuachia mada
 
Back
Top Bottom