Kbsaaa Naliona hiloo, Ila akumbuke JazaUjazweAnataka mumpe lift!
Malezi ya baba ni muhimu sana jamani!Wewe ndo mtumbo wako huo
View attachment 516720
Mi staki gari nshajizoelea maisha ya kuchanja mbuga, kupanda daladala, Bodaboda na bajaji au siku mojamoja nikipewa lifti basi Alhamdullillah. Hizi ngonjera nazitumia kwa watu kama nyie mnao complicate life na mnaoishi kwa kuigana.Ungekuwa unatumia hizo ngonjera kutafuta hela. Ungelinisapoti now
huna helaKatika vitu nisivoviwazia kuvifanya maishani mwangu ni kuwa na Gari..
sioni ule uhitaji wa gari saana kwa upande wangu, ntabanana mwendokasini mpaka basi, siwezi kuacha kufanya mambo ya msingi nikanunue gari, yani halina kipaumbele kabisa kwangu.
KUNA JAMAA ANA NYUMBA 4 Dar ila huwa anatumia taxi au daladala....... Hapo Unasemaje? Ulishawai Kutembea Duniani hasa Nchi za Ulaya??? Watu Wengi Hawanunui Magari Bali Hutumia Baiskeli na Train au Mabasi ya Abiria. Usimjaji Mtu maana hujui bank ana sh ngapi......Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Yap! The poor chap needs a father figure's piece of advice!Malezi ya baba ni muhimu sana jamani!
Usiendekeze sana mkoko mkuu, utaishia kwenye obesity na hatimaye diabetes na hypertension na mwishowe sexual dysfunction na hatimaye kugeuka joka la kibisa,punguza sedentary life style siku nyingine tembea kwa mguu na kupanda public transport.We baki na hayo mawazo yako ya tanga mtindi afu nikutane na mbebez wako nikiwa ndani ya mkoko...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




unajuaje kama sina?huna hela
ungekuwa na hela usingeng'ang'ania kunusishana shombo la feri na vikwapa kwa mwendokasi
The rich chap needs to work hard to get more dough enough to afford even a passo! Talking of father figure's pieces of advice...you have one now! Kazi kwako.. Ingest it, digest it, absorb it but never egest it.Yap! The poor chap needs a father figure's piece of advice!
Labda unatania, waliokulia kwenye familia za kitajiri hawako hivyo. Huyu ni team malimbukeni!
Kwa maneno yako tu inaelekea umekua katika maisha ya kitajiri...
Watu wana hiyo miaka hamsini hawajui kesho watakula nini, wapo kwenye nyumba za kupanga, alafu unawaambia kuhusu kumiliki gari!
Wewe uliebahatika kupata mshukuru Mungu...
Uzi wako umenihuzunisha saaan!!! Na ndani yake umejaa majivuno na kebehi.