Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Mume wako ana gari? Je baba yako?
Hivi Mwanamke unakosaje akili chanya jamaniUnajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli mkuu umenena kila MTU ana gari tatizo kulilipia[emoji1] [emoji3] [emoji2]Hii thread ni kwa ajili ya kututoa mapovu wanaume[emoji23] [emoji23]
Hata mimi sina gari hapa nyumbani ila gari langu bado liko yard sijalilipia ili kulichukua[emoji23] [emoji23]
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli mkuu umenena kila MTU ana gari tatizo kulilipia[emoji1] [emoji3] [emoji2]
Uwiiii! haaaaaa! ila kweli hata kivits 😀😀😀😀😀Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Wacharike bwana kha! Matumbo makubwa mnaminana kwenye Daladala. Poleni lakini maana hii mada kibokoMwenyewe nina langu Toyota Voltz unijie wanguwangu huna usafiri nakutimua upumbavu sitaki.
We baki na hayo mawazo yako ya tanga mtindi afu nikutane na mbebez wako nikiwa ndani ya mkoko... [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ungeeleweka kama ungeuliza Hivi mwanaume unakosaje "mashine"? hiki ndicho kinakufanya uitwe mwanaume,kama unadhani mwanaume ni gari tembea utakutana na wanaume bandia wenye magari yao lakini wameolewa na wanaume wenye "mashine".Mwanaume siyo gari mkuu,mwanaume "mashine".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wac
Wacharike bwana kha! Matumbo makubwa mnaminana kwenye Daladala. Poleni lakini maana hii mada kiboko
Nikipita na gari hata ww sikutongozi. Unajaa mwenyewe kwenye kumi na tisa zanguMaisha ni Uamuzi wa Mtu mwenyewe vile anavyotaka kuishi na anavyoona inafaa kuishi. Uamuzi wa kununua gari uko hivi kuna watu hawawezi kununua kutoka na kukosa fedha lakini kuna watu wana uwezo wa kununua lakini magari kwao siyo kipaumbele.
Ukiwa mwanamke au mwanaume ni lazima uwe na mtoto au watoto sasa kati yao mbona kuna matasa, nakadhalika....
Mmm! nyumba na gari vyote ni basic needsEeeeeeeeeeeeh, kumbe kipimo cha Dume zima ni Kuwa na gari, je kama mtu anamiliki Nyumba za Kutosha na miradi? mie nahisi we uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo