Yap tena limbukeni daktari wa maana. Sio wewe hata fekon au boxer za waha zina kushindaLabda unatania, waliokulia kwenye familia za kitajiri hawako hivyo. Huyu ni team malimbukeni!
Team limbukeni mnatabu sana, eti daktari, labda witchdaktari!Yap tena limbukeni daktari wa maana. Sio wewe hata fekon au boxer za waha zina kushinda
Shame on you... Hata hii[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516744
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Mkuu Hapness ndio nini wengine lugha imetupiga chengaWhy umesema mwanaume...hivi kwenye kazi uwa kuna kiwango tofauti cha Salary ktk Genda?...mimi nahc kila.mtu uwa ana Hapness yake..so ukiweza fulful hapness yako wewe upo poa kabisa. Kuna mtu hapness yake ni kuwa Dr. Tu..mengine ayo hata hayapo kwa kichwa chake..ila kwa Sasa Gari, Good Appartment and Simu ndo Basic needs.
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Dume suruali
kwahy una gari umepaki halaf huku unapigana vikumbo udart??;ss hupend,km unalo ulinunua km pambo???unajuaje kama sina?
sina hobby nalo kabisa..
jamani sio kila mtu anapenda gari