Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Kwanza kabisa sisi tusokuwa na gari na bado tunaishi kwenye nyumba za kupanga umetutukana. Pili akili yako yote baada ya kupata gari ume.invest kwa wanawake (uzinzi). Cha ajabu pamoja na ww kumiliki gari na nyumba na chenji za kunasa wanawake, mkeo naye inawezekana bado hujaweza kumtuliza mzuka wake wa kusaka wanaume, hata ikibidi kuwahonga chenji zako unazompa wakati huo aki.drive kale ka.passo kako/kake. Zaidi wajanja wanapita naye. Hii ndiyo faida ya kumiliki gari za kuji. show-off. Sisi tunamiliki ardhi na madini yaliyomo chini, cyo vyuma vinavyoliwa kutu.
 
Ukiwaza gari wenzako wanawaza zaidi ya gari...............................................
 
hahahahaha
World war iv.....................
 
Kila mwenye akili timamu huomba mafanikio. Si wote tunajua kuomba, na wakati mwingine tunaomba bila kujua kuwa tunaomba, nawe ni mmoja, ambaye umeomba umaskini na aombaye hupewa.
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Haya yote ni pale unapoolewa kwa sababu ya kutamani mali ilhali wewe ni Goalkeeper. Sasa unaona miaka ya ndoa inaenda huoni cha uwanja, tofali au Passo ni lazima uje kumsema mwenzio humu ndani.
 
Mkuu sasa unaanza kukufuru kwaiyo unaona watu wasiokuwa na usafiri ni kutikana na ujinga wao sio? Basi kwa Watu wenye Iman wanaamini ya kuwa Mali na Maisha mazuri mtoaji ni MwenyeziMungu na humpa amtakaye ?wangapi ktk Matajiri wakubwa ambao wameishia Darasa 7,Fm 4 na wengine hawajasoma Kabisa Njoo Green City uone haya!!
Alafu kujigamba ktk mitandao kwamba unagari au Nyumba Nzuri au Maisha yako ni Mazuri huo ni Ushamba na Ulimbukeni lini umemsikia mtu kama Bakhresa akijisifia kwenye Mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom