Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,491
Sio lazima PhD mkuu. MIE kuna kazi niliifanya kwenye financial negotiation nikawa ninahitaji 1.2M kichwani ila nikajibu bila kutaja figure kamili ile ya kukwepa. Nikashangaa naambiwa 2.5M na nikiokota overtime kwa mkandarasi Napata 1.5M. Kuna material Engineer ama Highway engineer ama Bridge Engineer anapokea si chini ya 7M net kwa mwezi.una PhD?
Nyumba na kila kitu analipiwa. Hela yake ananunua chakula tu basi mana umeme,maji,sabuni ,gesi yani nyumba Iko fully furnished. So hiyo PhD yako labda ni kwa watu Wa Social science ama arts ndo wanalipwa hizo wakiwa na PhD. Ila ulizia Engineer ama Daktari bachelor tu inamtosha.
Hakuna cha PhD wala masters