Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

I don’t really care about your judgement my friend. Come judge me ukishakua successful entrepreneur yourself. Nishakutana na people hundred times richer na bado they act like pu****ies. If you think u can tell whether one is successful simply by the way they write you are mistaken. Hata kijimodel cha instagram chenye 1m followers anaweza tengeneza a million dollar per year na bado akawa kilaza, still ni successful entrepreneur though.

Toka Tanzania, au soma I always tell people, widen your knowledge mawazo yako yatabad
Wewe umekazania tu toka Tanzania mbona kuna ambao hawajatoka Tanzania and they made it...Kuna ambao pia wameenda nje ya tz na hawajapiga hatua, daily wanakimbizana na 'jump out boys'. Ni upeo wako tu wakutatua changamoto in return upate kitu.
Kuna watu wanaenda nchi masikini zaidi na wanatoboa pia.
 
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
you are lucky enough to brag here!!. this exactly portrays you were among "SILVER SPOON KIDS".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara mzuri ni relative term maana unategemea mtu mwenyewe anavyojivalue.Ofisini kwangu nina nafasi moja ya kazi,kwa sababu ya corona nilitaka kuchukua mtu kutoka kwenye program moja ya USAID inayoisha miezi michache ijayo.nimeongea na watu watatu tofauti, mmoja anasema bila gross ya 12 m usinitafute, mwingine yupo tayari hata kwa take home ya 3.5 m.So mshahara mzuri is relative term,you cant tell
hahaaaa bila 12m usinitafute!!..:binafsi i liked this nigga!! kama pesa ipo ningemuajiri nione why is confident enough?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you are lucky enough to brag here!!. this exactly portrays you were among "SILVER SPOON KIDS".

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua mnaongea ushenzi laiti ungejua nilivyozaliwa familia masikini usingekaa hata ukaongea ujinga.

Unasema kubrag ila nachowaambia ni ukweli, take it or leave it. Watu hampendi kuambiwa ukweli kua ni wavivu mnakaa siku nzima kuangalia series huku mfukoni hamna kitu au mnakaa kwa shemeji.

Endeleeni kutafuta excuse to make yourselves feel better hahaha! ila at the end of the day situation yenu inabaki palepale kama hambadiliki
 
Haha I have been poor na rich, I promise you I will always choose rich because being poor sucks, kuna kipindi hata jero mtu nilikua naiwazia, that’s was shitty life. Siku hizi mama akiona Dubai kwenye tv akasema “ahh mwanangu hapo pazuri” unamchukulia tiketi kesho yake anaenda kula bata. It’s not a big deal kama watu wanavyochukulia. It reaches a point it becomes the new normal. Umasikini tupa kule...

🤣🤣🤣🤣🤣🤣!mimi ni nani had nibishe haya uloandika..alafu umisema watz ni wavivu watu wanakasirikaga balaa...! Tunapenda kujihami balaa😂😂unawachefua watu .! Corona isha basi jamani arghhhh!
 
Hua mnaongea ushenzi laiti ungejua nilivyozaliwa familia masikini usingekaa hata ukaongea ujinga.
Unasema kubrag ila nachowaambia ni ukweli, take it or leave it. Watu hampendi kuambiwa ukweli kua ni wavivu mnakaa siku nzima kuangalia series huku mfukoni hamna kitu au mnakaa kwa shemeji...

Mie nskuekewa sans..ika jf sio plartform ya kuongelea haya unayoandkka..utapata ghafla maadui zamani kidg nilikua nami natafuta excuse kibaooo....! Lakini hat ukiilalamikia watu..family..weather...serikali haisaidii kitu...ni wewe tu kuamua unataka maisha yako yawaje! Kiukwel tumelala sana sana sana...! Inatubid tuishi kwa hasira za kufind hela jaman...arghhh rona ishaaa
 
Tuseme kawaida kwa mazingira ya Tanzania na waajiri tunao fanyia kazi kama mabenki, kampuni za simu, mashirika yasiyo ya serikali NGO, serukalini

Tusiseme vitu ambavyo havipo

Mfano mil 25 serikalini huwezi pata ila net ya mil 1.5 inawezekana.

Labda tuniulize HOD Tanzania anatakiwa kulipwa kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
HOD wa wapi? Swali lako pana sana...
 
Hua mnaongea ushenzi laiti ungejua nilivyozaliwa familia masikini usingekaa hata ukaongea ujinga.
Unasema kubrag ila nachowaambia ni ukweli, take it or leave it. Watu hampendi kuambiwa ukweli kua ni wavivu mnakaa siku nzima kuangalia series huku mfukoni hamna kitu au mnakaa kwa shemeji.

Endeleeni kutafuta excuse to make yourselves feel better hahaha! ila at the end of the day situation yenu inabaki palepale kama hambadiliki
Nakukubali sana mkuu
 
Tz ukiondoka ukagusa nchi zilizoendelea ukaona how people live siku ukirudi utaona kama tupo kwenye stone age. Ndiyo maana Tz hua nagusa mara moja moja sana kila nikirudi watu kibao hadi ndugu wengine wanawivu wanafikiria kuniroga. What a waste of brain power and time. Kila kitu hadi business za huko ninaendesha online tu. Tz is so boring. Hard truth no one wants to hear.

Mie nipe somo kidg unamanage namna gani kuendesha biashara zako ukiwa mbali! Hebu nipe abc kidg hapa!
 
Nakukubali sana mkuu

Mkuu....mie nasema siku zote kaa na watu walofanikiwa...jamani kukaa na maskini mwenzako ni kama mnapanga kwenda kuloga tu...!yaan hate tu zisizo na msingi!mie you tube ndo imekuwa kama mume aisee ! Maana ukisema ujimix unaona kbs watu wana uelewa wajabu sana sana..mtu ameridhika bila sababu yaani ...mie nashindwa ielezea !
 
Ndo ukweli wenyewe huo ukikaa na masikini ata mawazo yako yanakuwa ni kuchukia tu watu walifanikiwa mfano mzuri hapa jf watu wanaambiwa ukweli wanasema mtu anajimwambafai
 
Ndo ukweli wenyewe huo ukikaa na masikini ata mawazo yako yanakuwa ni kuchukia tu watu walifanikiwa mfano mzuri hapa jf watu wanaambiwa ukweli wanasema mtu anajimwambafai

😅😅! Mie nashukuru siwez kuweka hate na mtu alonipita kimafanikio...! Never..maana navyouchukia umaskini ni Mungu mwenyewe anajua!hata ajiashue vipi mie walaa...! Kuna mtu nimemsumbukiaga humu jf toka 2017!nilikua namuomba anipe connecrion moja hivi akawa hana response nzuri .bas nikaamua kumpotezea.

Kitu nilichogundua tunaishi na hofu zisizo na umaana wowot..yaan unahis nisiposhikwa mie si lolote si chochote..! Kumbe upande unaohofu nao ndo wenye mafanikio yako..! Tafuta habari iwezekanavyo zama kwa akili zote mbona utaona tu mwanga!!..
 
Back
Top Bottom