Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

😅😅! Mie nashukuru siwez kuweka hate na mtu alonipita kimafanikio...! Never..maana navyouchukia umaskini ni Mungu mwenyewe anajua!hata ajiashue vipi mie walaa...! Kuna mtu nimemsumbukiaga humu jf toka 2017!nilikua namuomba anipe connecrion moja hivi akawa hana response nzuri .bas nikaamua kumpotezea..
Kitu nilichogundua tunaishi na hofu zisizo na umaana wowot..yaan unahis nisiposhikwa mie si lolote si chochote..! Kumbe upande unaohofu nao ndo wenye mafanikio yako..! Tafuta habari iwezekanavyo zama kwa akili zote mbona utaona tu mwanga!!..
Hofu ni kitu kibaya sana yani
 
Mie nipe somo kidg unamanage namna gani kuendesha biashara zako ukiwa mbali! Hebu nipe abc kidg hapa!

Kumanage sio ngumu, nina mtu wa karibu nayemuamini yupo Tz anasimamia vizuri sana kila decision ananitaarifu tunakaa kudiscuss kama ipite au la kupitia platform inaitwa microsoft teams.

Ikitokea nahitaji kuwasiliana na wafanyakazi wao wote pia wana account microsoft teams tunapigiana video call kufanya meeting kama inahitajika muda ambao wote tupo awake. Kuna chat groups as well kila siku tunapeana updates.

Sales zote na matumizi jinsi biashara zinavyokwenda nina-manage kwenye website ambayo nilitengeneza mwenyewe, managers wanalogin au wafanyakazi kila wakiuza inajiupdate automatically, kila wakispend wanaandika.

So every single second nafungua tu website nalogin naangalia data zote najua siku hiyo imekwendaje, kama kuna kitu kinauza sana kuliko vingine software inaniambia kua this item sells more, this item sold out much quicker than all the others, au this item makes the highest profit in a short term. Naenda na data tu kumake decisions. Kila kitu smooth kabisa.

Salary nayo ni automated kila tarehe ya mwisho wa mwezi asubuhi inatoka bank automatically kuingia kwenye account za wafanyakazi wote, hakuna kuvutana wala nini wakiamka asubuhi ni kufungua account yao kucheki balance tu. Pension na madude mengine yote yanalipwa pembeni hawahitaji hata kujisumbua kuyafikiria
 
Kumanage sio ngumu, nina mtu wa karibu nayemuamini yupo Tz anasimamia vizuri sana kila decision ananitaarifu tunakaa kudiscuss kama ipite au la kupitia platform inaitwa microsoft teams.

Ikitokea nahitaji kuwasiliana na wafanyakazi wao wote pia wana account microsoft teams tunapigiana video call kufanya meeting kama inahitajika muda ambao wote tupo awake. Kuna chat groups as well kila siku tunapeana updates...

Sawa sawa boss...nimeipenda..kwa nature ya kazi zangu hyo ni mbingu na ardhi
 
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
Dah...naomba niajiri boss
 
Huu Uzi bila kiduku Lilo haujakamilika bado

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Sidhani kama ni kweli.. umechanganya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bidada, Kenya sio Kama Tanzania Kenya kuna mishahara mikubwa Sana,
Kenya CEO ANAYEONGOZA ANALIPWA SH ZA KITANZANIA MILIONI 8.2+ KWA MWAKA anaitwa MURIUKI ni CEO wa COOPERATIVE BANK huko Kenya, wa pili ni JOSHUA OIGARA CEO WA KCB BANK analipwa BILIONI 6+(za kitanzania).
Ingia Google search utakuta
 
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
Sijakusikia vizur au mim ndo mgonjwa wa kuamin mambo mazur mazuri kam haya?

Mkuu nipe kazi nikuingizie faid zaid ya 5m per month but nilipe net ya 1m tu inanitosha saaaaaaaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bil 6 kwa mwezi kwa mwaka si bil 72 ambazo ni sawa na faida ya safaricom mwaka huu.. mkuu naona unachanganya madesa.
Bidada, Kenya sio Kama Tanzania Kenya kuna mishahara mikubwa Sana,
Kenya CEO ANAYEONGOZA ANALIPWA SH ZA KITANZANIA MILIONI 8.2+ KWA MWAKA anaitwa MURIUKI ni CEO wa COOPERATIVE BANK huko Kenya, wa pili ni JOSHUA OIGARA CEO WA KCB BANK analipwa BILIONI 6+(za kitanzania).
Ingia Google search utakuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bil 6 kwa mwezi kwa mwaka si bil 72 ambazo ni sawa na faida ya safaricom mwaka huu.. mkuu naona unachanganya madesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema kwa mwezi? Mfano wangu wa kwanza wa CEO MURIUKI nimesema kabisa kwa mwaka sio mwezi, kwa mwezi ni milioni 500+,za kitanzania kwa CEO wa KCB BANK, MURIUKI BILIONI 8+ kwa mwaka ambazo ni milioni 670+ kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom