Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Tuseme kawaida wa mazingira ya Tanzania na waajiri tunao fanyia kazi kama mabenki, kampuni za simu, mashirika yasiyo ya serikali NGO, serukalini

Tusiseme vitu ambavyo havipo

Mfano mil 25 serikalini huwezi pata ila net ya mil 1.5 inawezekana...
Wenye vyeo vya juu HOD mazeemazee na wakurugenzi,DC wanalamba Gross 3M net 2M
 
Mshahara mzuri africa hakuna. Jinsi mshahara unavyoongezeka, ndivyo expenditure zinaongezeka.

Can you imagine mshahara wa chini wa mwalimu USA ni 12m???



Sent using Jamii Forums mobile app

12M kwa muda gani labda tuanzie hapo maana walimu wanalalamika kila siku huku nako.

Kumbuka rent ya US sio laki1 kama bongo ni zaidi ya 1M kwa mwezi kwa hela za madafu tena kwenye neighborhood mbaya.
 
Mtoa mada kauliza mshahara, Kwa maana ya kuajiriwa, SASA Huyu anayepotosha uzi Kwa story za utajiri wake na kukandia vijisent vya watu anaenda nje ya mada.
Namshauri aanzishe uzi WA ujasiriamali au kutumia hela nyingi club. Aweza pia kuanzisha uzi kuhusu nyumba za ghali.
Binafsi nimemwona kama Limbukeni.
Mbona kama imekuuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom