joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,453
- 41,618
More money more problems.
Ni mabadiliko yanayoonekana kubadilisha hali ya kimaisha ya mtu. Kutoka hatua moja ya chini kwenda iliyo bora zaidi.
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani?Dah...kwa muajiriwa... mshahara mzuri hauhusiani na figure....ila angalau upate 50% ya faida unayomzalishia muajiri wako....kwa mfano sisi wa bodaboda tunatengeneza faida kwa mmiliki ya Tshs 6500 kwa siku...hivyo ukilipwa buku 3 ni mshahara mzuri sana [emoji41]
Sent using Beretta ARX160
Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
Tuseme kawaida kwa mazingira ya Tanzania na waajiri tunao fanyia kazi kama mabenki, kampuni za simu, mashirika yasiyo ya serikali NGO, serukalini
Tusiseme vitu ambavyo havipo
Mfano mil 25 serikalini huwezi pata ila net ya mil 1.5 inawezekana...
Kwako hamna nafasi ya kaziHiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
Mshahara mzuri ni relative term maana unategemea mtu mwenyewe anavyojivalue.Ofisini kwangu nina nafasi moja ya kazi,kwa sababu ya corona nilitaka kuchukua mtu kutoka kwenye program moja ya USAID inayoisha miezi michache ijayo.Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
Elfu sitini tuIvi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitasema nina mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
Naomba tenda basi ya kuwapikia wafanyakazi wako mzee baba,.Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi 😂 em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
Mkuu fikiria kufanya kazi nje ya Tanzania as an expert utapata zaidi ya hiyo huku ukipewa nyumba na flights za kurudi bongo kila unapotakaMie nikipata net ya kama m12 nitajiita napata mshahara mzuri
Mshahara mzuri kulingana na mahitaji ..ukipata mshahara unaohitaji kwa sasa na matahiji yataongezeka na kuona mshahara hautoshi..
Ni kama vile maendeleo jinsi unavyozidi kupanua ndo watu wanavyozidi kutamani..
Sent using Jamii Forums mobile app