Kwa maoni yako, Ila kikawaida ni kwanzia net ya 1M..kwa mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mshahara mzuri ila kuna matumizi mazuri kwa mipango yako. kama matumizi yako yote na starehe zako, ulevi wako na kila kitu kwako kinaweza kubebwa na 2M basi kwako hiyo ni ishara ya mshahara mzuri. kuna wengine wanapewa mpaka milioni 25 ila wanaishia kukopa pia.Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
hakuna mshahara mzuri ila kuna matumizi mazuri kwa mipango yako. kama matumizi yako yote na starehe zako, ulevi wako na kila kitu kwako kinaweza kubebwa na 2M basi kwako hiyo ni ishara ya mshahara mzuri. kuna wengine wanapewa mpaka milioni 25 ila wanaishia kukopa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
una PhD?Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?
Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania
Wewe je?
Dah....maendeleo ni nini Chalii? [emoji56][emoji848]Inategemea mtu na mtu. Kuna mtu analipwa chini ya laki tano lakini ana maendeleo kuliko hata anaelipwa over 1 million.
Dah...kwa muajiriwa... mshahara mzuri hauhusiani na figure....ila angalau upate 50% ya faida unayomzalishia muajiri wako....kwa mfano sisi wa bodaboda tunatengeneza faida kwa mmiliki ya Tshs 6500 kwa siku...hivyo ukilipwa buku 3 ni mshahara mzuri sana [emoji41]Kama una net chini ya 5m we ni masikini. Tafuta biashara za kufanya pembeni uhakikishe kila mwezi angalau unalaza 5m
Kama una net chini ya 5m we ni masikini. Tafuta biashara za kufanya pembeni uhakikishe kila mwezi angalau unalaza 5m
Mshahara mzuri africa hakuna. Jinsi mshahara unavyoongezeka, ndivyo expenditure zinaongezeka.
Can you imagine mshahara wa chini wa mwalimu USA ni 12m???
Sent using Jamii Forums mobile app