Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Napenda unavyojiamini...!..kuishi Tz ni shida tu jamani
Tanzania ukiondoka ukagusa nchi zilizoendelea ukaona how people live siku ukirudi utaona kama tupo kwenye stone age. Ndiyo maana Tz hua nagusa mara moja moja sana kila nikirudi watu kibao hadi ndugu wengine wanawivu wanafikiria kuniroga. What a waste of brain power and time. Kila kitu hadi business za huko ninaendesha online tu. Tz is so boring. Hard truth no one wants to hear.
 
Ivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni sh ngapi , au unaanzia sh ngapi.. ?

Kwangu nikipata kuanzia net ya 2M , nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania


Wewe je?
Mshahara ni relative.
Kama mshahara unatosha au vipi inategemea maisha yako na gharama zake.

Pokea kwa mfano mshahara laki tano. Wewe una mke na watoto watatu wadogo, shule unalipia na nyumba ya kupanga.
Nawe ni mtu wa kinywaji na totoz.
Nyumbani kwenu wadogo zako wanakutegemea.

Kwa vyovyote mshahara hata wa milioni haukutoshi.
Sasa laki tano hiyo hiyo, bachela umejijengea chumba kimoja huko madongo poromoka.
Bajeti yako ni chai asubuhi na lunchdin (lunch & dinner) saa kumi, kimsingi mlo mara moja kwa siku.
Sasa huyu msela tena anaweza kusave hela nzuri tu.
 
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi 😂 em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.

Mkuu hapo ofisini kwako nafasi bado zipo na mimi nije uniajiri?
 
It's not about how much you make but how much you spend....

Sent From Galaxy S9
 
Mkuu ngoja nikwambie kitu maana hua mnakaa mnafikiri kila aliye Jf ni masikini wa kutupa kama nyie. Mimi kwa watu kama nyie naonekana nina pesa ndefu ila kwenye circle ya marafiki zangu tu najiona masikini japo najua ndiyo ninakula vizuri, nalala pazuri, nasafiri napotaka bila mawazo ila kuna watu hata mi nikiwaona still nawaonea wivu wanavyospend...
$50,000 ni 100m+ .. for one weekend??!!..amaizing..hao jamaa zako watakuwa super rich
 
Biashara gan boss??
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom