Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

Haha ungejua bei ya nyumba nayokaa kama laki tatu inakutisha nikikwambia mbona utaenda kujitundika? Vyumba vya laki tatu niliacha kukaa toka nina miaka 18. Zamani sana hadi nilishasahau
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wachaaaa weeeee enheeee,lete story vyumba laki tatu uliacha ukiwa na miaka 18 duuuuu ebwana ,yap yap yap hii ndio JF.
 
Haha ungejua bei ya nyumba nayokaa kama laki tatu inakutisha nikikwambia mbona utaenda kujitundika? Vyumba vya laki tatu niliacha kukaa toka nina miaka 18. Zamani sana hadi nilishasahau
Mkuu acha porojo Kama uliacha kukaa vyumba vya laki tatu ukiwa na miaka 18

Swali ni kwamba ulikaa vyumba hivyo kwa muda gani na ulianza kukaa vyumba hivyo vya laki tatu ukiwa na umri gani

[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ulianza kupanga vyumba vya laki tatu ukiwa na umri gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wachaaaa weeeee enheeee,lete story vyumba laki tatu uliacha ukiwa na miaka 18 duuuuu ebwana ,yap yap yap hii ndio JF.

Mkuu ngoja nikwambie kitu maana hua mnakaa mnafikiri kila aliye Jf ni masikini wa kutupa kama nyie. Mimi kwa watu kama nyie naonekana nina pesa ndefu ila kwenye circle ya marafiki zangu tu najiona masikini japo najua ndiyo ninakula vizuri, nalala pazuri, nasafiri napotaka bila mawazo ila kuna watu hata mi nikiwaona still nawaonea wivu wanavyospend.

Hako ka laki tatu kanavyokusumbua akili hiyo si hela nikilala na kuamka benki imeongezeka zaidi ya hiyo. Nikupe mfano moja nilitoka na rafiki zangu wanne kwenda club, huku states club ukienda lazima usimame, ukitaka meza we ni VIP lazima ulipie, club tuliyoenda floor ya pili vip table usiku moja $10,000 hapo ni meza na sehemu ya kukaa tu, mimi hiyo hela hainitishi sana ila siwezi lipa kisa kukaa tu its stupid ila rafiki yangu moja hua anaspend hadi $50,000 weekend tu akatoa yote biila hata kujifikiria mara mbili, hela ya meza tu usiku huo inazidi mshahara wako wa probably miaka miwili kama unakaa unalilia laki tatu.

Kaa ujue duniani kwa kua we ni masikini na umezunguka na masikini, si kila mtu ni masikini. Labda tatizo ni lako mwenyewe, unaambiwa you are the average of all your friends, maybe its time utafute marafiki wanaojielewa wanafikiria maendeleo cause it seems to me unazungukwa na masikini tu,circle mbaya sana hiyo mtabaki kuombana hela miaka inaenda mnawaza vyumba vya laki tatu. Hahaha 300k man come on, hicho chumba au tuite kijeneza? Kuna kujigeuza kweli? Labda vijijini
 
Mkuu acha porojo Kama uliacha kukaa vyumba vya laki tatu ukiwa na miaka 18

Swali ni kwamba ulikaa vyumba hivyo kwa muda gani na ulianza kukaa vyumba hivyo vya laki tatu ukiwa na umri gani...
Nimeanza kujitegemea toka nina miaka 16. Mi nawashangaa mnahisi kila mtu ni mvivu kama nyie. By 19 tayari vyumba navyokaa ni apartment zinachezea kuanzia laki nane. Fast forward 24 apartment nilikua nakaa ya 2mil.

Nimehamia kuishi nje hiyo 2mil ikawa nothing kachumba kadogo mno, nikaendelea kupanda na upgrade.

Sioni cha ajabu hapo wavivu tu ndo watahisi ni kitu amazing ila anyone can do the same thing. Na no sio hela ya wazazi, juhudi zangu binafsi wazazi wangu enzi hizo walikua masikini
 
Mkuu ngoja nikwambie kitu maana hua mnakaa mnafikiri kila aliye Jf ni masikini wa kutupa kama nyie. Mimi kwa watu kama nyie naonekana nina pesa ndefu ila kwenye circle ya marafiki zangu tu najiona masikini japo najua ndiyo ninakula vizuri, nalala pazuri, nasafiri napotaka bila mawazo ila kuna watu hata mi nikiwaona still nawaonea wivu wanavyospend...


😅😅😅😅 tuseme ukweli kuwa na hela ni raha sana sana jamani!...mie nakufatiliaga sana sipend kusikia stry za umaskini basi tu...!sipend nasema!
 
Nimeanza kujitegemea toka nina miaka 16. Mi nawashangaa mnahisi kila mtu ni mvivu kama nyie. By 19 tayari vyumba navyokaa ni apartment zinachezea kuanzia laki nane. Fast forward 24 apartment nilikua nakaa ya 2mil. Nimehamia kuishi nje hiyo 2mil ikawa nothing kachumba kadogo mno, nikaendelea kupanda na uprade. Sioni cha ajabu hapo wavivu tu ndo watahisi ni kitu amazing ila anyone can do the same thing. Na no sio hela ya wazazi, juhudi zangu binafsi wazazi wangu enzi hizo walikua masikini
Anyway hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngoja nikwambie kitu maana hua mnakaa mnafikiri kila aliye Jf ni masikini wa kutupa kama nyie. Mimi kwa watu kama nyie naonekana nina pesa ndefu ila kwenye circle ya marafiki zangu tu najiona masikini japo najua ndiyo ninakula vizuri, nalala pazuri, nasafiri napotaka bila mawazo ila kuna watu hata mi nikiwaona still nawaonea wivu wanavyospend...
Mimi nakuamini kidukulilo,una pesa mpaka shetani anaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngoja nikwambie kitu maana hua mnakaa mnafikiri kila aliye Jf ni masikini wa kutupa kama nyie. Mimi kwa watu kama nyie naonekana nina pesa ndefu ila kwenye circle ya marafiki zangu tu najiona masikini japo najua ndiyo ninakula vizuri, nalala pazuri, nasafiri napotaka bila mawazo ila kuna watu hata mi nikiwaona still nawaonea wivu wanavyospend...
Mwee Miyangu hii ndio JF .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wachaaaa weeeee enheeee,lete story vyumba laki tatu uliacha ukiwa na miaka 18 duuuuu ebwana ,yap yap yap hii ndio JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo boda hamjui kuitumia. 6,500 kwa siku ni upotezaji muda bora utafute biashara nyingine. Mi biashara ambayo haifikishi angalau 200,000 kila siku sifanyi. Tuseme mtu anaingiza 10,000 kwa siku, mwezi una 300,000 sasa laki tatu unafanyia nini jamani tuache utani? Hata chumba tu haitoshi bado kuna kula na kuishi [emoji23] em tuwe serious kidogo. Ukiona umefikisha miaka 25 hujaanza kula maisha vizuri badilisha lifestyle. Hata wafanyakazi wangu hakuna anayekula chini ya milioni na hapo nawaonea sana huruma naona ka hawana hela kabisa so nawalipia chakula kila siku na usafiri.
Umeongea kama kidukulilo ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Utapigwa majungu hapo hadi utaiona Kazi Chungu! Hahaha
Mshahara mzuri kulingana na mahitaji ..ukipata mshahara unaohitaji kwa sasa na matahiji yataongezeka na kuona mshahara hautoshi..

Ni kama vile maendeleo jinsi unavyozidi kupanua ndo watu wanavyozidi kutamani..

nikipata net ya 3m nafunga ndoa na hiyo Kazi na nitakuwa mwaminifu hadi mwisho wa dahari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅😅 tuseme ukweli kuwa na hela ni raha sana sana jamani!...mie nakufatiliaga sana sipend kusikia stry za umaskini basi tu...!sipend nasema!
Haha I have been poor na rich, I promise you I will always choose rich because being poor sucks, kuna kipindi hata jero mtu nilikua naiwazia, that’s was shitty life. Siku hizi mama akiona Dubai kwenye tv akasema “ahh mwanangu hapo pazuri” unamchukulia tiketi kesho yake anaenda kula bata. It’s not a big deal kama watu wanavyochukulia. It reaches a point it becomes the new normal. Umasikini tupa kule. I understand most of the world wapo in poverty ila wavivu ni wengi mno ambapo wangejipush kidogo tu wangekua 100 times better off in one year basi tu they choose not to change. What the hell do we do to such people?

Mtu ana internet badala ya kufungua hata udemt ajifunze skill flani aingize pesa anaingia pornhub kujichua daily huku bundle lenyewe kalipiwa na mama na ni mtu mzima kagraduate wtf is wrong with people?
 
Back
Top Bottom