Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,785
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani nimekaa na simu karibu tangia jana lakini wapi!!
Nikisikia sms najua mambo tayari lakini kila nikifungua sms nakutana na sms za kujisajili kwa vidole mara mifuko ya plastic yaani shida tupu!