limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Hapana mkuu maadili ya ualimu yanaendelea swala la elimu ni msingi mshahara ni matokeo tu ktk maishaHahhahahhahha...kasahishe vizuri sasa...uwape watoto na marks za bure kwa furaha.
Hapana mkuu maadili ya ualimu yanaendelea swala la elimu ni msingi mshahara ni matokeo tu ktk maishaHahhahahhahha...kasahishe vizuri sasa...uwape watoto na marks za bure kwa furaha.
Asante mkuu.Hahah...Pole mkuu
Asante mkuuPole sana mkuu
Mi tayari mkuu, imesomaMapambano yaendelee mkuu
Mi tayari mkuu, imesoma
kweli mkuu?Safi hata mim imesoma twamshukuru mh rais maana Hali Ilikua tete sana 2020TWENDENAMAGU
Hakika check saliokweli mkuu?
Ndiyo maana sisi huwa tunawaangalia tuu hamkawii kusahau tutaonana mwezi ujao, mbwa nyie woteSafi hata mim imesoma twamshukuru mh rais maana Hali Ilikua tete sana 2020TWENDENAMAGU
Heheheh ukichelewa twende na membe ukiwahi twende na maguSafi hata mim imesoma twamshukuru mh rais maana Hali Ilikua tete sana 2020TWENDENAMAGU
Ndiyo maana sisi huwa tunawaangalia tuu hamkawii kusahau tutaonana mwezi ujao, mbwa nyie wote
Kumekuwa na kejeli sana baada ya mfanyakazi huyu wa umma kufungua thread kuulizia mshahara ambao ni haki yake na si hisani. Naomba niwakumbushe wafanyabiashara, wajasiliamali na wakulima-watu wasiotegemea mishahara, kwamba katika maisha tunategemeana. Huyu unayemcheka kwa kulilia mshahara waweza kuta ni daktari au nesi ktk hospitali au zahanati za umma. Unadhan ukienda hospitali atakupa huduma nzuri? Unaweza kuwa na pesa lakin usipate huduma nzuri. Pia mtumishi huyu wa umma anaweza kuwa askari polisi. Ukiibiwa usiku wa leo au ukavamiwa na majambazi, huyu askari mwenye njaa atafuatilia haki yako au kuitikia wito wa kuja kukuokoa? Wewe mwenye biashara, mteja wako ni nani kama sio mfanyakazi wa umma mwenye uhakika wa kipato kila mwezi?
Watanzania tushikamane, tuache husda za kufurahia mwenzako anapokuwa na masahibu, kwakuwa tu wewe hayajakupata. Kila mtu ktk maisha hupitia wakati mgumu, iwe tajiri au maskini, mfanyakazi au mkulima, mfanyabiashara au mjasiriamali. Tukishikamana hata wanasiasa watatuheshimu, tukitengana wote tutaumia.
Ushauri kwa serikali na waajiri wengine, mshahara ni haki, sio hisani. Lazima utolewe kwa wakati na usicheleweshwe bila sababu za msingi. Pale inapolazimu kuchelewa, wafanyakazi wapewe taarifa. Haiwezekani madaraja hayapandi, nyongeza hakuna(increment), mshahara mpya hakuna, na sasa mshahara uchelewe bila sababu. Tambueni kwamba mshahara kwa watumishi wa umma ni suala la usalama wa taifa(National security issue). Don't ever toy with it.
Nimesoma comments zote nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheheh ukichelewa twende na membe ukiwahi twende na magu
Hahahah watz noma sana
Yes kiniramba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magu ndo mpango ndugu
Kama mapungufu hata akija huyo mtakae nae ni yaleyale, mbona meng kajaribu
Izaaaa, mbiii uwe Munanso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]