Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Dah ulivyoshangaa kwa kushangilia Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahha...Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...niko attention kabisa.

Nambie asee, na leo wanapitisha siku eeh!?!?!
 
Hahahahha...Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...niko attention kabisa.

Nambie asee, na leo wanapitisha siku eeh!?!?!
Mi hata sijui mkuu, hata account ya benki sina
 
Wafanyabiashara wanawaponda watumishi wkt wao hufanya biashara pindi watumishi wapatapo mshahara mm apo ndipo sielewagi binaadam
Wanaoponda ndiyo hao wapiga vibomu kwa waajiriwa mishahara ikitoka. Mangi dukani anawathanija wake
 
Serikali imefilisika...... Imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake kwa wakati..
 
Back
Top Bottom