Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hahaha MPAKA wiki ijayo mkuu

Salary imeshatoka. Sema tu wengi meseji za nmb mobile zimeingia jioni hii. Ambao hawajapata bado, hawana budi kuvuta tu subira ingawa inaumiza kiasi chake.
 
ILA KUMBUKENI LEO NI TAR 24 KUELEKEA TAR 25. MKIWAHISHIWA MSHAHARA MWEZI UJAO UKITOKA TAR 21 MLALAMIKE KAMA MLIVYOLALAMIKA HUU KUCHELEWA.
 
ILA KUMBUKENI LEO NI TAR 24 KUELEKEA TAR 25. MKIWAHISHIWA MSHAHARA MWEZI UJAO UKITOKA TAR 21 MLALAMIKE KAMA MLIVYOLALAMIKA HUU KUCHELEWA.
Duh! Maisha ya kuajiliwa taabu tupu! Niliwahi kuajiliwa haya maiaha ya kuaubiri mwisho wa mwezi yalinitesa sana. Poleni watumishi ila jitaidi huwe angalau na kuku 10
 
Ok Asante kwa upendo Mkuu nilikuwa nawahi kutoa nikalipe deni. Nikae kwa amani NMB ATM haitoi pesa na account imekatwa imeniuma hatari
Pole mkuu...kesho uwahi mapema Bank. Ikiendelea kuzingua unaingia ndani.
 
Hii thread tuifunge hadi mwezi ujao Jamal, ngoja nikasahihishe mitihani sasa maana mpemba keshakula Deni lake,niko huru
 
Hii thread tuifunge hadi mwezi ujao Jamal, ngoja nikasahihishe mitihani sasa maana mpemba keshakula Deni lake,niko huru
Hahhahahhahha...kasahishe vizuri sasa...uwape watoto na marks za bure kwa furaha.
 
Back
Top Bottom