Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Mleta mada naomba usiukimbie uzi wako baada ya sms pendwa kukufikia
 
Hivi wadau ukimaliza kulipa mkopo wa nmb salary advance unakaa muda gan ili ukopeshwe Tena
Msaada tafadhar
Unakaa siku moja, yaani kuanzia siku baada ya mshahara kutoka ndo unaweza kukopa tena.
 
Back
Top Bottom