Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Namtafuta somebody ""Meiya"" kumradhi kama nitakuwa nimekosea jina.
 
Ila ITM zinazingua ukiomba kutoa hela hazitoki.Ukiangalia kupitia simu banking hela imekatwa imeniuma sana NMB wanacho fanya siyo fare kabisa
Kwangu nimeumia sana shida ni NMB kiukweli wamechelewesha para. Natoa wanadai mwamala haujakamilika. Nikiangalia simbanking hela wamekata Kama nilivyo omba kutoa.
 
Imeniuma sana hela wamechelewesha unatoa haitoki ukicheck simubanking wamekata.
 
Duuuh! Pole mkuu...ila huwa inarudi

Back
Top Bottom