Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Anaekunyanyasa akikuona unalialia kisa hajakuwezesha anakudharau
 
Ajira siku zote ni utumwa mkuu trust me.ukifika mahali umeajiriwa na kazi yako wewe mwenyewe hiyo ni top most.ila kama kila wakati inabidi ureport kwa mwenzako ili mwisho wa mwezi akulipe huu ndiyo utumwa.
wewe hujaona wakati mwingine inabidi tujichekeleshe kwa mabos ili mradi tu tusibore asije akatuhamisha kitengo
Kumbuka watumishi wengi huanza kujiajili after retirement.
Mimi namheshimu sana mtu mwenye ajira yake binafsi full stop.
v

Endelea kumuheshimu
 
Hivi wadau ukimaliza kulipa mkopo wa nmb salary advance unakaa muda gan ili ukopeshwe Tena
Msaada tafadhar
 
Wafanya biashara tujadiliane ya kwetu baada ya watumishi kutelekeza jukwaa.
 
Back
Top Bottom