kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Wewe mwalimu wacha kuzuga eti kodi,tunawajua walimu njaa nikali mishahara haikutani labda mfunge kula na kunywa wiki mbili kila mwezi. Mliambiwa wenzenu walishawahi jitolea kazi bila mishahara siasa mtulie ujenzi umegharimu ila mtatafutiwa namna.Wasalaam, kwa wale wenye ajira serikali Leo ni tarehe 24 may 2019 napenda kuwauliza je mmeshapata kale kamshahara kamwezi may? Maana 19 imeshapita nadai kodi yangu ya nyumba napewa ahadi tu.
Walimu sindio mnatoaga ufunguo wa maisha ninyi,mbona maisha yenu hayafunguki mnatapatapa? Watoto wetu mnawapa funguo kweli??