Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,766
Mishaara huwa inatoka kuanzia ijumaa... Maana ukipewa kati kati ya wiki utaenda kulewa kesho yake ushindwe kuja kazini.Nini kimeisababisha serikali kuchelewesha sana mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu kuliko miezi mingine!? Ni muda mrefu sasa serikali imekua ikiwalipa watumishi kabla ya tare 24 lkn mwezi huu sijui wamekwamia wapi!