Connection ya kazi ya Upagazi (Porter)

Connection ya kazi ya Upagazi (Porter)

Phenol 41

Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
24
Reaction score
59
Habari ya wakati huu!!
Wakuu nimechapika na maisha vibaya sana, nimekaa nikawaza nikaona nitimkie Kilimanjaro nikafanye kazi ya Upangazi kule mlimani!! Kama Kuna mtu anafanya hii kazi, au ana mtu wake wa karibu anafanya hii kazi naomba kuunganishwa nao!! Nipo Nyanda za juu kusini, Nina Bachelors Degree!!

Thanks in advance
 
Mungu akufanyie wepesi
Ungesogea kabisa huku ukitembelea wanakokodi vifaa vya mlimani ungepata connection kwa wepesi.
Huko uliko kama una vifaa vifuatavyo hakikisha unavibeba
Rucksack
Hiking boots
Sleeping bag
Warm clothes
Pair of socks
Head light
Portable sleeping mattress
Rain gears (trouser and jacket)
Plastic bag
Kupunguza gharama za kununua
 
Back
Top Bottom