Ukiwahi hamtoi pongezi...ukichelewa malalamiko kibao, wakati umewahi mbona hukuja kupongeza? Vumilia tu
Hahaha hahahaHahah...Daah!
Mkuu Upo? Yule mtu alikuja kukudai?Noma sana mkuu
Mkuu punguza spidi[emoji23][emoji23][emoji23] unakaribia ku-land on Runway 13, Wind 56 Knots 519 degrees. Mimi ni Air Traffic Controller nipo kwa mzee madiba Airport [emoji56][emoji56][emoji2929]magufuli hajawahi kuwa rafiki wa wafanyakazi na hatakuwa.Yeye anaamini wafanyakazi wanapata mishahara ya bure bure tu. Huyu mtu ni wa kupiga chini 2020 haijalishi aongeze mshahara hata milioni apandishe madaraja hadi Z.Poleni watumishi mnapata tabu sana awamu hii,mmekuwa frustrated vya kutosha.Binafsi nilimpigia kura magufuli na nilimpigia kampeni pia,naumia sana kuona ananyanyasa watumishi kiasi hiki.Huu ni mfungo mtukufu wa Ramadhan unachelewesha mishahara kwa watu kiasi hicho tena bila taarifa,sisi sote ni binadamu tusinyanyasane kisa tu eti una madaraka,hii dunia ni ya mwenyezi Mungu siyo binadamu yeyote,tutakufa tutaiacha.
Ni vizuri au vibaya?Wababa wanawahi nyumbani kweeeli tarehe zikiwa zinasubiriwa
mshahara 245,894 halafu unacheleweshwa hahaha, nikikumbuka kampeni za urais 2015 hadi nalia,hivi magufuli ni wa kunyanyasa watumishi?
sipo nyumbani mkuu nimetoka tangia asubuhi.Mkuu Upo? Yule mtu alikuja kukudai?
Ni kawaida mkuu!Ni vizuri au vibaya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipo nyumbani mkuu nimetoka tangia asubuhi.
missed call zimejaa kwenye simu!
Duhh Poleni sana mkuusipo nyumbani mkuu nimetoka tangia asubuhi.
missed call zimejaa kwenye simu!
uko chooni au?Huyo mzee huwa anajinasibu yeye ni rais wa wanyonge! ila mpaka leo bado sijagundua hao wanyonge ni watu wa aina gani maana naona kila kundi linamlalamikia tu.
By the way, huwezi ukawa kila siku unajisifia eti wewe ni rais wa kundi fulani huku nchi ikiwa ni ya watu mchanganyiko! Anatakiwa kuumiza kichwa kuboresha maisha ya watanzania na siyo kuendelea na hizi hotuba zake za kibaguzi!
Maskini, matajiri, wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara, nk. wote wana haki sawa ndani ya nchi yao na ni jukumu la serikali kutenda haki kwa makundi yote kwenye jamii pasipo kubagua.