Duh Mkuu naona utamaliza mwaka vibaya,
Duniani kote madon huwa hawashindwi kitu, kiustaarabu tu ni kama unacheza ngoma usiyoijua.....
Na Kwa uhakika dhahiri kabisa huitaji kuwa great thinker kujua kuwa unamzungumzia Mengi,
Hakuna asiefaham nguvu ya Mengi kwa Ushawishi wa Umma, tumekuwa nae toka enzi na enzi,Fisadi unaemuona ni mmoja tu kwa kuwa umeambiwa hivyo, na pengine ukiambiwa tofauti utaamini hivyo, CCM ni chaka la mijizi hakuna mwenye unafuu, ndio maana wengi wenye busara wanaangalia game kwa mbali.
Turudi kwenye uhalisia,
Nitajie tajiri yeyote hapa Tanzania anaeweza kutetea wanyonge, iwe kuhadaa au whatever kama unavyotaka kusema zaid ya Mengi
Nitajie tajiri yeyote mwenye ujasiri wa kusema kampuni fulani hazilipi kodi
Nitajie tajiri yeyote tena mwanachama wa CCM anaweza kutoa nafasi kwa vyama vya upinzani kuonyesha uwezo wao...
You must be too ill informed to understand the name of the game, let alone the game.
I'm out.