unamaanisha kuwa wachungaji ni teamlowasa, mashekhe ni teamlowasa, bodaboda ni teamlowasa, mama ntilie ni teamlowasa mpaka kikwete ni teamlowasa kumuacha mengi.
hahahahahaha, umenichekesha sana mkuu, nimependa unafiki wakoMengi ni timu Muhongo, uhakika ninao, msiopenda habari ndio hio
Hata yule waziri mkuu wa Thailand ni team lowassa.usisahau mvua za kutengeneza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ni kweli mkuu, na mimi pia ni team profesa, mengi tupo naehahahahahaha, umenichekesha sana mkuu, nimependa unafiki wako
Dhambi ya kumfitinisha Prof Muhongo na watanzania na kumpigia majungu naona imerudi na inamtafuna vibaya mzee wa watu. Na jamii imeshajua mbivu na mbichi ni zipi. Tusubiri uamuzi wa chama chao utakuwaje, wakimpitisha Prof sijui mzee wa watu atakimbilia nchi gani kwa kweli? Kweli malipo duniani hapa hapa.Ni kweli mkuu, na mimi pia ni team profesa, mengi tupo nae
Mropokaji yule awe Rais tangu lini captain wa vikosi vya mzinga akajua kutawala? Akapimwe akili labda kelele za vishindo vya mizinga vimemvuruga! Haki ya Mungu ataturudisha miaka ya sitini akipewa nchi hii! yangu mie machoItakuwa kweli maana mpinzani mkubwa wa Lowassa ni Makongoro.....
Habari za Makongoro hazitamkwi kabisa ITV.
Isitoshe mamvi kateka media zote....kiukweli NAIONA TANZANIA MPYA KUPITIA MAKONGORO, ambapo rais anaingia madarakani na HAKUNA WADHAMINI AU WAPIGA DILI WANAOMDAI.
Vita ya kupambana na VIBAKA ni kubwa..
namuombea kwa Mungu aendelee kupambana mpaka mwisho.....wasio mjua na wanaosoma magazeti ta udaku wasiofanya research wanaopenda kusimuliwa bila utafiti wanaopwnda kutafuniwa habari watakuchukia na kusema ni fisaidi lakini watu wenye jicho la tatu wanaofikiri kilometer kumi mbele ya pua wanamjua kama mchapakazi mwenye msimamo thabiti mwenye uthubutu ni jembe ....wanaomchafua kisiasa et mwalimu alimkataa ni wale wazembe wanaopenda kupeleka mambo kwa kuunda tume.. hao wanaogopa mchakamchaka wakolowassa oct 2015maamuzi magumuhakatwi mtu hapa
Mkuu pole lakini ,Rais ni LOWASA tafadhari jiandae kisaikolojia.Nani kakudanganya, kaeni na lowasa wenu mbovu wa akili na mwili,maana hawezi hata kutoa hotuba ya maana anatetemeka tu.rais wetu ni mzee wa kazi.
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..ila pia nawajua baadhi ya makada wa CCM, (ukimuondoa Sabodo ambae ameisupport Chadema wazi wazi) wanaoisupport Chadema kwa siri!.
Pasco