Kuna tetesi zimeenea hapa Arusha kuwa yule anayeitwa kama 'tajiri mzalendo' ni mmoja wa wafanyabiashara na matajiri wanaomfadhili ndugu Lowassa.
Mengi kumfadhili Lowassa sio kosa bali ni vizuri ikawa wazi kama anavyotanabaisha mgombea ndugu Lowassa kwamba 'simama uhesabiwe'
Kwa mwenye kufahamu vizuri uswahiba huu wa watu hawa atajuze ili tuondokane na tetesi.
Pasco njoo huku!
Mengi ni sawa na akina Gwajima kwani wanafuata upepo. Mengi alishawahi mponda sana Lowassa na kumpongeza sitta lakini kwa sasa lowassa kwake ni lulu. Gwajima na Mengi n walewale.
Last edited by a moderator: