Hivi Mengi ni Team Lowassa?

Hivi Mengi ni Team Lowassa?

umesahau mara hii MENGI alikuwa upande gani wakati wa RICHMOND? aliigeuza ITV kuwa kama mali ya akina SITTA na ole sendeka

umeshasahau ugomvi wa fisadi Nyangumi na FISADI papa///
wewe hakuna maadui wala marafiki wa kudumu,kinachoangaliwa ni maslahi ,Mengi yupo team Lowasa kwa sasa
 
Unamkubali sana Lumumba?. Lumumba na Lowassa wana sifa zinazofanana kiutendaji.

Mkuu Utaniudhi Sasa Hivi Na Nitakuchenjia! Kumfananisha Mwenye Picha Ktk Avatar Yako Na Lowassa Ni Sawa Na Kumfananisha Malimi Busungu Wa Yanga Na Luiz Suarez Wa FC Barcelona. Tena Ututake Radhi Watanzania Kwa Kutukosea Hivi Adabu.
 
Huyo ni mchumia tumbo anafata sauti ya tumbo lake.

Ananichekeshaga anapotumia zaidi ya dkk 10 kwenye taarifa ya hatari ITV na kumngangania kikwete kumuakikishia usalama wake na kutoa mf ya vifo ya karne ya kwanza utazani yeye ni bora kuriko watanzania wengine.
 
Fisadi papa na fisadi nyangumi wamekuwa kitu kimoja,watanzania tutakoma LOWASA akiwa lowasa,papa na nyangumi watapewa vitalu bureee,kodi watakwepa sana tena sana,EEEEH Mungu saidia LOWASA asiwe Raisi
 
Mkuu Meningitis, kusema ukweli kuna vitu vingine huwa vinasemwa tuu kwa madhumuni ya kitu kinachoitwa 'power consolidation', yaani kwa vile Mzee Mengi is a very powerful man, mtu yoyote mwenye kutafuta uongozi for the sake of gaining the powers, lazima atafanya alliances na the powerful ones, na hata asipofanya yeye, the hao 'the powerful ones' watamfuata kutaka alliances kwa sababu in politics, you never know atakuwa nani, hivyo ukijialign mapema you are safe na hivyo ndivyo wanavyofanya wafanya biashara wote wakubwa!.

Hebu fikiria jinsi Mengi na Rostam walivyotukanana kwenye ile vita ya Fisadi Papa na Fisadi Nyangumi!, halafu juzu hapa watu hawa wamekumbatiana hadharani na kukaa meza moja!.

Nijuavyo mimi Mzee Mengi ni kada wa CCM na yuko huru kumuunga mkono mtia nia yoyote na kumsupport kwa hali na mali bila kukiuka kanuni yoyote, ila pia nawajua baadhi ya makada wa CCM, (ukimuondoa Sabodo ambae ameisupport Chadema wazi wazi) wanaoisupport Chadema kwa siri!.

Kwenye politics hakuna urafiki wa kudumu wala uadui wa kuduma kuna urafiki tuu wa ki maslahi tuu, hivyo utashangaa hizo team Lowassa, team Membe team sijui nani, mgombea akiishapatikana zote zinakuwa kitu kimoja kumsupport!, kambi zote zinavunjwa, inatengenezwa kambi moja kubwa inayoitwa "the winning coalition", watu wanatinga tena ikulu kama kawa!.

Pasco

wanaanza kujipaga ili wakachore diri na lowasa wao watajibeba ccm haimpitishi, na ndo maana wameyumbisha uongozi wa kikwete makusudi wanajifanya wao ni mapapa.
 
Mengi ni mfanya biashara hivyo bila shaka atakuwa na sera kama ile ya wamarekani "kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu bali mslahi ya kudumu"
 
Wanasiasa wote na wafanyabiashara huwa hawana urafiki wala uadui wa kudumu kikubwa kinachowaunganisha ni maslahi yao tuu!!
 
Itakuwa kweli maana mpinzani mkubwa wa Lowassa ni Makongoro.....

Habari za Makongoro hazitamkwi kabisa ITV.

Isitoshe mamvi kateka media zote....kiukweli NAIONA TANZANIA MPYA KUPITIA MAKONGORO, ambapo rais anaingia madarakani na HAKUNA WADHAMINI AU WAPIGA DILI WANAOMDAI.

Vita ya kupambana na VIBAKA ni kubwa..

Kampeni zake hamna anayemdhamini?
Where is he getting all that power?
 
linapokuja swala la interest always (same birds flock together) wote tunajua when mr lowassa take over the state house wht is gn happen (BUSINESS AS USUAL) tazama delegations yake ya wanaojiita wadhamini wote ni wafanyabiashara na wafanyabiashara ni wajanja sana they alwys say ( “If it ain't broke, break it (or someone else will break it for you).”) i'm afraid wth hard decisions he is gn made wht i knw Tanzania now tunaitaji maamuzi sahihi kwa wakati mwafaka coz alway hard decisions uwa ina kuja kucost bdae abt baba mengi cjajua mybe he made right choice or not
 
Mkuu Meningitis, kusema ukweli kuna vitu vingine huwa vinasemwa tuu kwa madhumuni ya kitu kinachoitwa 'power consolidation', yaani kwa vile Mzee Mengi is a very powerful man, mtu yoyote mwenye kutafuta uongozi for the sake of gaining the powers, lazima atafanya alliances na the powerful ones, na hata asipofanya yeye, the hao 'the powerful ones' watamfuata kutaka alliances kwa sababu in politics, you never know atakuwa nani, hivyo ukijialign mapema you are safe na hivyo ndivyo wanavyofanya wafanya biashara wote wakubwa!.

Hebu fikiria jinsi Mengi na Rostam walivyotukanana kwenye ile vita ya Fisadi Papa na Fisadi Nyangumi!, halafu juzu hapa watu hawa wamekumbatiana hadharani na kukaa meza moja!.

Nijuavyo mimi Mzee Mengi ni kada wa CCM na yuko huru kumuunga mkono mtia nia yoyote na kumsupport kwa hali na mali bila kukiuka kanuni yoyote, ila pia nawajua baadhi ya makada wa CCM, (ukimuondoa Sabodo ambae ameisupport Chadema wazi wazi) wanaoisupport Chadema kwa siri!.

Kwenye politics hakuna urafiki wa kudumu wala uadui wa kuduma kuna urafiki tuu wa ki maslahi tuu, hivyo utashangaa hizo team Lowassa, team Membe team sijui nani, mgombea akiishapatikana zote zinakuwa kitu kimoja kumsupport!, kambi zote zinavunjwa, inatengenezwa kambi moja kubwa inayoitwa "the winning coalition", watu wanatinga tena ikulu kama kawa!.

Pasco

Wasiwasi wangu ni kwa yeye kujifichaficha nyuma ya pazia kwa nini asiwe muwazi kwamba yu team lowassa ili na washabiki wake hasa walemavu wamuunge mkono?

Halafu kama tetesi hizi ni za kweli basi naanza kuamini kuwa Muhongo tulimsulubu lakini alikuwa ana jambo dhidi ya Mengi na wafanyabiashara wengine wanaojiita ni wazalendo.
 
ni kipi kinachokuaminisha MENGI ni team LOWASSA? Mbona munamlisha mtu maneno mdomoni????
Au uliumia MUHONGO kutema uwaziri????
au unaumizwa na utajiri wake usiofanana na wenzie walioiba serikalini????

NAONA UMEKUJA KUMSAFISHA muongo prof haha hah .....acheni ufisadi umma utaambatana nanyi
 
Mengi ni mfanya biashara hivyo bila shaka atakuwa na sera kama ile ya wamarekani "kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu bali mslahi ya kudumu"
umemaliza
kwa wasiofanya biashara na kukalia kazi za KUAJIRIWA ndio watakuwa wagumu kumsoma MENGI
 
nilianza kuhisi harufu ya ushosti kati ya watu hawa wawili mda mref maana hizo airtime cio bure
 
Fisadi papa na fisadi nyangumi wamekuwa kitu kimoja,watanzania tutakoma LOWASA akiwa lowasa,papa na nyangumi watapewa vitalu bureee,kodi watakwepa sana tena sana,EEEEH Mungu saidia LOWASA asiwe Raisi

Hata mimi nimeshtukia hilo la vitalu vya gesi .. Ndio vimewaunganisha fisadi papa na fisadi nyangumi ..
Kazi tunayo !!
 
Hivi utajiri wa Mengi ulianzia wapi wakuu? Kuna ukweli wowote kuwa alidhaminiwa na Baba wa Taifa na kwenda kuchukua mkopo BOT?
 
Membe ameahidi kuwa wafanyabiashara wasiwe na wasiwasi.
 
Mkuu;

Huhitaji kuuliza maswali wakati vipimo vya ukweli viko wazi.

Mpime Mengi kwa kuangalia mlengo wa vyombo vyake vya habari.

Mengi kwa sasa ni mmoja wa kundi la TimuLowassa.

Wao wanaita timu ushindi!
 
Mkuu;

Huhitaji kuuliza maswali wakati vipimo vya ukweli viko wazi.

Mpime Mengi kwa kuangalia mlengo wa vyombo vyake vya habari.

Mengi kwa sasa ni mmoja wa kundi la TimuLowassa.

Wao wanaita timu ushindi!

Ni vizuri tukamfahamu Mengi na utaratibu wake!
 
Mengi siku zote anaangalia faida kwenye biashara zake halali na haramu. Imebidi sasa apatane na Rostam kwa ajili ya Lowassa. Siku za karibuni kalalamika Ikulu kumfanyia hujuma .
Anajua wale ni team Membe au anti Lowassa .
Mimi binafsi naona akili yake ipo kwenye vitalu vya gesi .. Labda Lowassa kampa ahadi hiyo .
Lakini akumbuke kwamba hao wanaweza kuja kumgeuzia kibao wakishapata . Ndiyo ataanza tena kulialia eti maisha yake yapo hatarini .. Huyu ni fisadi kama mafisadi wengine tu.[/QUOTE

Tumbili]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom