Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Je na Nyarandu alinunuliwa kwa sh ngapi ! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu kwani matusi ya mange yanaisaidia nini nchi wewe kama ni jasiri fungus act ya matusi hatuna muda huo kwa sasa hapa ni kazi tu
Hebu punguza jazba uandike kitu kinachoeleweka unakimbilia wapi? Una haraka gani!? Kwani hapa tunamjadili Nyalandu?
 
Duuh mie nnachoona hapa nchi za dunia ya tatu jinsi ya kutatua matatizo yake ni ubabe zaidi kuliko demokrasia. Tofauti na nchi za dunia ya kwanza au zilizokwisha endelea.... inaweza chukulia jambo kidiplomasia na kiintelejinsia.

Anyways nashindwa kuelezea nilichonacho akilini labda kwakuwa mahaba yanazunguka sana huko kichwani kuliko kitu kingine.

Heri ya sikukuu ya Xmas na Mwaka Mpya 2018 mshana jr
 
Acha kuongopa
 
Umenitosa Kasie na hamu zangu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ni watu wawili tofauti kabisa kuanzia asili mpaka jinsia bila kusahau habari zao.. Labda kinachowakutanisha ni ule uthubutu wa kufunua ya sirini juu ya serikali zao... Lakini Snowden kampiku Mange yeye sio serikali yake tu bali serikali mbalimbali duniani... Huyu ni mdukuzi wa kimataifa, mjanja mwerevu na mchawi wa software.... Nywila gani imshinde Snowden? Kama kaziweza za marekani zile ambazo ni very sensitive atashindwa na ipi?
Snowden ni kitisho hasa kwa serikali ya nchi yake.... Kuna baadhi ya mambo hubaki kuwa siri za nchi na kuyatoa nje kabla ya muda wake kuwadia ni hatari sana.. Snowden anafurahiwa na mataifa adui wa marekani.... ANATOA SIRI ZA NCHI... hapa kuna kukosa uzalendo wa aina fulani... Hata kama jambo ni baya lakini kama linamaanisha kuilinda nchi kukaa kimya pia ni jambo la busara kuliko kupayuka.....!!!
Mange Kimambi mdogo wangu huyu... Sometimes ni kama chizi mropokaji lakini ana uthubutu ambao wengi hawana.... Wakosoaji aina yake wapo popote duniani na ni muhimu kuwa na watu wa kaliba yake.... Anakufanya uwe makini zaidi na utende kwa weledi zaidi.... Lakini tofauti na Snowden Mange habari zake sio za udukuzi bali na za kupewa na watanzania wenyewe walioko kwenye nafasi ya kuzipata habari husika.... Mange hana makosa analetewa HADUKUI.. HANA UWEZO HUO....!!!!
Sifurahishwi na baadhi ya post zake, zingine zina utoto mwingi, na baadhi ni mambo ya kike kuzodoana na kutambiana, kusemana vibaya na kutukanana... Lakini ukiondoa hayo makandokando kuna vitu makini anatuma japo naye anapelekewa.....
Ni aibu kwa serikali kuacha mambo muhimu na kuanza kuhangaika na mkosoaji wa mitandaoni... Ni aibu kwakuwa kama serikali ni safi basi haiwezi kuchafuliwa na post za kimbeambea... Ukiona serikali inaaza kuhangaika na kufanya figisu nyingi ili kummaliza Mange jua kuna kitu si bure... Kuna mambo yasiyo na faida kwa Taifa yanajaribu kufichwa.. Kuna kaliba inalindwa isiyo na faida yoyote kwa Taifa.....!!!
Watende kwa weledi, makosa yapo hatukatai... Hakuna mkamilifu hata mmoja akiwemo Mange mwenyewe lakini kutumia nguvu nyingi kuhangaika naye ni ishara tosha kuwa yuko sahihi na kuna tatizo kubwa mahali
Well said Mkuu.
Mange ana vitu kadhaa vya kipuuzi na matusi yasiyo ya lazima.

Lakini pia ana facts nyingi za maana sana. Pia hufanya analysis zake zilizo kwenda shule kwenye issues nyingi tu.

Serikali safi isiyokuwa ya wala rushwa na serikali yenye kuheshimu haki wa watu wake, haiwezi kuhangaika na mtu kama huyo.

Efforts kubwa za kumzima ni dhahiri maandishi yake mengi ni ukweli. Kumzima kutafanya watu wamwamini zaidi.

Ukitaka kukipa umaarufu kitabu chochote, kipige marufuku! Watu watakitafuta kwa gharama yoyote ile.
 
CCM haina sera tena imebaki kutumia dola kwa mambo ya kijinga kabisa, badala ya kuelekeza nguvu kwenye viwanda wameelekeza kwenye kesi.

Sera ni nini haswa?? Ukisema haina sera utakuwa unakosea kwani hata kutokuwa na sera nayo hiyo ni sera yao. Sera ya viwanda sio kuvijenga viwanda bali kuelekeza watu wajenge viwanda. Sera yao kubwa ni kuumaliza upinzani, usiseme ati hawana sera.
 
Hao wanaomtumia habari sidhani kama wanatumia princliples za Bell La Padulla
 
Kumfananisha snowden na mjinga flani ni kumkosea heshima ed snowden!...
Mtu wa kumfananisha na type ya Mange ni John Doe!..
 
Back
Top Bottom