Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Sera ni nini haswa?? Ukisema haina sera utakuwa unakosea kwani hata kutokuwa na sera nayo hiyo ni sera yao. Sera ya viwanda sio kuvijenga viwanda bali kuelekeza watu wajenge viwanda. Sera yao kubwa ni kuumaliza upinzani, usiseme ati hawana sera.
Ok
 
Umenitosa Kasie na hamu zangu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Aaahhh Mshana leo unanigeuzia kibao..... tulikubaliana wewe ndo ukirudi unialike nikamwambia msata napaogopa ukaniambia utanikaribisha Kibaha. Baada ya hapo ukakaa kimyaaaa...... ningefanyaje sasa na mie kukumbushia huwa siwezi saa ingine nakuwaga na aibu za kike.

Hapajaharibika neno wakati bado upo....
 
Je na Nyarandu alinunuliwa kwa sh ngapi ! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu kwani matusi ya mange yanaisaidia nini nchi wewe kama ni jasiri fungus act ya matusi hatuna muda huo kwa sasa hapa ni kazi tu
Mange alipotumia matusi kuwanga kina ukawa mlifanya sherehe .
Kinyume chake mnahangaika kumdukua!!
 
Duhh Mshana hii post cyo ya kariba yako tumezoea kuona ukipost ushirikina na ugagula umetoka nje ya chaki
 
Aaahhh Mshana leo unanigeuzia kibao..... tulikubaliana wewe ndo ukirudi unialike nikamwambia msata napaogopa ukaniambia utanikaribisha Kibaha. Baada ya hapo ukakaa kimyaaaa...... ningefanyaje sasa na mie kukumbushia huwa siwezi saa ingine nakuwaga na aibu za kike.

Hapajaharibika neno wakati bado upo....
Jumamosi jayo kibaha basi na hamu zote [emoji85] [emoji85] [emoji85] zote zote
 
Ccm nazi nazi/ yenye ubabe wazi wazi/ bila polisi sanduku la kura linawakataa waziwazi/
Ni vyema kuhamia ccm usije kufa maji/ baki chadema ufe kiitikadi ka saanane mpiganaji

NB: Mistari kwenzi afikishiwe H.E magufuli na kombe la kagame
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji120] [emoji116] [emoji123]
 
Mkuu inaonekana Snowden humfaham vzr, unavyo mwelezea ni tofauti
 
Back
Top Bottom