Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,426
- 2,764
kwa kifupi ni kwamba kuna vitu unaweza kufanya ukiwa na hasira sana baadaye ukaja kujuta hapo akili inayojua mema na mabaya inakuwa haifanyi kaz kujua ili nafanya mbaya niache phia akili ya kiungu ni ule uwezo wa mtu kutabiri, kuona maono,kuponya ni akili inayohakikisha unapumua ndo maana uwez kujiua kwa kujizimba pumzi mwenyeweUngefafanua huu mgawanyiko kwa mapana sana
Hii ni ipi aisee
Kwa nini aliwafunga ?
Na baadae akawafungua?