Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Ukweli ni kwamba maisha yangekuwa ya kweli sana, mtu asingeweza kuficha kama ana makovu, au kama ana maumbile tofauti, kuna wale wenye jinsia mbili hawa sasa sijui ingekuaje but uongo wa kijamii ungepungua sana.
Mambo mbashara hakuna haja ya kujieleza sana 😅
Upande wa biashara, sekta ya mavazi (fashion industry) ambayo inaajiri mabilioni ya watu duniani ingepotea kabisa na uchumi ungetetereka vibaya mno.
Uchumi ungeteteleka je na hata haujawahi kuwepo sasa?
Kifupi kama tungeishi bila nguo, binadamu asingekuwa na siri na dunia isiyo na siri ni dunia ambayo ingebidi tuishi in total transparency jambo ambalo mwanadamu wa sasa aliyejawa na unafiki hawezi kulimudu kabisa.
Hizo bullying sasa yule hivi yule vile 😆
 
Uchi usingeonekana kuwa wa aibu au wa kuvutia kwa kiwango cha sasa, kwa sababu ungekuwa jambo la kawaida tu.
Sahihi,maana mfano kwa wazungu mwanamke kubaki na bikini na sidiria hakuna mshangao wowote kwa mwanaume ni kama tu yupo na mwenzake..

Ila kibongo ikitokea hivyo unaweza kuona mwanaume anavyotoa macho na kumeza mate kama fala.
 
Ingekuwa kawaida tuu, tungezowea! Binadamu mindset yake ina kitu mazoea, kukinai na tamaduni. Kwani kabla ya nguo hizi, jamii zililiwa zinaishi vipi??
Ndio maana mmatumbi akienda Ibiza, au Sao Paulo Brazil, Viunga vyote vya Miami, anaweza kuvunja shingo; watu ni mwendo wa bikini tuu na ndio wamezowea hivyo. 😊

Nje ya mada; We binti utakuwa ni mzuri sana; umeamua kuturusha roho tuu. 😊
 
Back
Top Bottom