Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Maisha bila nguo yangetupunguzia gharama za maisha.

Maana hizo bei za nguo ni kizungumkuti!
 
Kuna jamii kama sio Wamang'ati basi Wasandawe wanatembea uchi japo sio uchi uchi ila wanajiziba tu sehemu za siri kwa wanawake vifua wazi hii hata Wamasai, nadhan huku kwetu nguo zililetwa enzi za ukoloni wao kulingana na mazingira yao ya baridi ndio walianza kugundua nguo na kutuletea na sie
 
Kuna jamii kama sio Wamang'ati basi Wasandawe wanatembea uchi japo sio uchi uchi ila wanajiziba tu sehemu za siri kwa wanawake vifua wazi hii hata Wamasai, nadhan huku kwetu nguo zililetwa enzi za ukoloni wao kulingana na mazingira yao ya baridi ndio walianza kugundua nguo na kutuletea na sie
Inawezekana wakoloni walitufundisha kuvaa vizuri
 
Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu

Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?

Nikajiuliza pia hivi ni nani alipata wazo la kuvaa nguo

Aliwaza nini ?
Ni baridi kali ilimsukuma?
Au jua kali kupita kiasi?
Au aibu ?
Kama ni aibu alijuaje hii ni aibu ?

Maana kwa viumbe hai nadhani mwanadamu ndio anavaa nguo

Mada yangu naigawanya sehemu mbili wewe mdau utajibu upande unaopenda
👇

Mtazamo wa kidini

Kwa mujibu wa Biblia, baada ya Adamu na Hawa kula tunda walilokatazwa, wakafumbuliwa macho wote wawili, wakajua kuwa wako uchi wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo (Mwanzo 3:7)

Baadaye Adamu akasema:

Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha (Mwanzo 3:10)

Hapo tunaona Adamu alikua akiishi mtupu na hakuwahi kugundua kua alikua mtupu alikua kawaida

Baada ya kula hilo tunda ndio akagundua kua yupo uchi yeye na Hawa

Swali la kujiuliza kama Adam aligundua kua yupo uchi baada ya kula tunda

Hii ina maana mwanzo hakujua chochote na alikua akiishi mtupu

Je huko kwenye bustani ya Edeni hakukua na baridi?
Kama lilikuepo mbona hakusikia?
Je hakukua na jua kali ?
Kama lilikuepo mbona hakulisikia?

Au kulikua na mazingira rafika kwa kuishi mtupu?

Je, simulizi hili linaonyesha kwamba desturi ya kujisitiri ilianza hapo, au ni fundisho la kiroho kuhusu dhamiri ya mwanadamu?


Mtazamo wa kifalsafa 👇

JE , nguo ni matokeo ya akili ya mwanadamu kutafuta ulinzi dhidi ya baridi, jua na mazingira, au ni makubaliano ya kijamii kuhusu staha na utambulisho?

Leo utasikia mtu wa kwanza kugundua simu ni fulani

Aliegungua radio ni fulani

Hivi ni nani wa kwanza aligundua kwamba watu wavae nguo badala ya kutembea watupu?

Kama tungekuwa kama wanyama wengine wasiovaa nguo, je, maadili na maisha ya jamii yangekuwaje?

Yaani tuwe kama ng'ombe , Mbuzi ,
Au wanyama wa mwituni

Yaani tungekua tunapeta naked ingekuaje😅🙌

ShesRise_1 ✋️
kumbe palikucha hivi jana aise dah?

In fact,
Adamu na Eva ndio walitufikisha hapa tulipo, hasa baada ya Adamu kushindwa kudhibiti upwiru wake pale bustanini,

baada ya kumaliza kupiga show kali, ndio akili zikamrudi, kujicheki down akaona kitu ambacho hakuwahi kukiwaza wala kufikiri jinsi kilivyo baada ya kutumika au kumaliza kazi. Eva mwenye ilimbidi akimbilie kichakani kuficha maajabu yake mwenyewe :pedroP:

Mungu hadhihakiwi ndugu zangu.
 
kumbe palikucha hivi jana aise dah?
Wewe ulikua wapi 😅
Au ulikua na bebez maana weekend
In fact,
Adamu na Eva ndio walitufikisha hapa tulipo, hasa baada ya Adamu kushindwa kudhibiti upwiru wake pale bustanini,
Sijui hata walianzaje aisee🤣🤣
Na hata kujua kwamba inafanywa hivi 🤔
baada ya kumaliza kupiga show kali, ndio akili zikamrudi, kujicheki down akaona kitu ambacho hakuwahi kukiwaza jinsi kilivyo baada ya kutumika. Eva mwenye ilimbidi akimbilie kichakani kuficha maajabu yake mwenye
Mambo ya kula tunda noma sana
heka heka zote zilianzia bustanini
:pedroP:


Mungu hadhihakiwi ndugu zangu.
Amen mtumishi🙏
 
Niliona paja tu ndio
This time nataka kuona na 🍑
Nipate ku compare na yangu hivi hua zinafanana🤔😀😀😀
nimecheka sana,, nimekumbuka miezi iliyopita tulikuaga romantic kwenye uzi wa watu mpka tukaulizwa hu iz she and hu iz he😄😄 watu wakiona hapa si watahisi sisi ni lesbo looh hebu niache mwanza
 
nimecheka sana,, nimekumbuka miezi iliyopita tulikuaga romantic kwenye uzi wa watu mpka tukaulizwa hu iz she and hu iz he😄😄 watu wakiona hapa si watahisi sisi ni lesbo looh hebu niache mwanza
Mimi mara zote nipo romantic for you na wengine pia ila wewe hua nakuzidishia sana Switie🥰

Si unajua malovee yangu kwako babe🤪

Ni uzi gani huo diha 🤣🤣
Hatuwezi kua lesbo bana waache dhana potofu ebooo
 
Back
Top Bottom