Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hiko ndo kitu ambacho kinamfanya mwanadamu kuonekana anaakili na yuko timamu, ndio mana ukiwa upo uchi watu watakustili kwanza na kujaribu kuangalia je, uko sawa? ila cha ajabu na cha kukushangaza ila litakuja kua swala la kawaida, "pindi tutakapo fufuliwa basi tutakua uchi na hakuna mtu ambae atakaa kuhoji nguo zake ziko wapi bali atakua mbio kuelekea kwenye kisimamo"
Aisee haya
 
Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu

Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?

Nikajiuliza pia hivi ni nani alipata wazo la kuvaa nguo

Aliwaza nini ?
Ni baridi kali ilimsukuma?
Au jua kali kupita kiasi?
Au aibu ?
Kama ni aibu alijuaje hii ni aibu ?

Maana kwa viumbe hai nadhani mwanadamu ndio anavaa nguo

Mada yangu naigawanya sehemu mbili wewe mdau utajibu upande unaopenda
👇

Mtazamo wa kidini

Kwa mujibu wa Biblia, baada ya Adamu na Hawa kula tunda walilokatazwa, wakafumbuliwa macho wote wawili, wakajua kuwa wako uchi wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo (Mwanzo 3:7)

Baadaye Adamu akasema:

Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha (Mwanzo 3:10)

Hapo tunaona Adamu alikua akiishi mtupu na hakuwahi kugundua kua alikua mtupu alikua kawaida

Baada ya kula hilo tunda ndio akagundua kua yupo uchi yeye na Hawa

Swali la kujiuliza kama Adam aligundua kua yupo uchi baada ya kula tunda

Hii ina maana mwanzo hakujua chochote na alikua akiishi mtupu

Je huko kwenye bustani ya Edeni hakukua na baridi?
Kama lilikuepo mbona hakusikia?
Je hakukua na jua kali ?
Kama lilikuepo mbona hakulisikia?

Au kulikua na mazingira rafika kwa kuishi mtupu?

Je, simulizi hili linaonyesha kwamba desturi ya kujisitiri ilianza hapo, au ni fundisho la kiroho kuhusu dhamiri ya mwanadamu?

Mtazamo wa kifalsafa 👇

JE , nguo ni matokeo ya akili ya mwanadamu kutafuta ulinzi dhidi ya baridi, jua na mazingira, au ni makubaliano ya kijamii kuhusu staha na utambulisho?

Leo utasikia mtu wa kwanza kugundua simu ni fulani

Aliegungua radio ni fulani

Hivi ni nani wa kwanza aligundua kwamba watu wavae nguo badala ya kutembea watupu?

Kama tungekuwa kama wanyama wengine wasiovaa nguo, je, maadili na maisha ya jamii yangekuwaje?

Yaani tuwe kama ng'ombe , Mbuzi ,
Au wanyama wa mwituni

Yaani tungekua tunapeta naked ingekuaje😅🙌

ShesRise_1 ✋️
Mnyama amepewa manyoya na vimifuko vya kufunika uchi.
Huwezi kuona uume wa mnyama mpaka awe tayari kuzalisha ndio unatoka nje, hvyo kama si nguo mungu angetuwekea vimifuko ama vipochi vya kuficha nyuchi zetu.
 
Unazungumzia jinsia gani mkuu!jike au dume? maana majike naniliii naona ziko nje nje kama tu mbuzi, tena mkia umebinuka juu!
 
Mnyama amepewa manyoya na vimifuko vya kufunika uchi.
Huwezi kuona uume wa mnyama mpaka awe tayari kuzalisha ndio unatoka nje, hvyo kama si nguo mungu angetuwekea vimifuko ama vipochi vya kuficha nyuchi zetu.
Vipochi vya kuficha nyuchi zetu 🤣🤣🤣
 
Hao watu wana dunia yao aisee🙌
Kama unashangaa moja unakuja kusikia lingine
Nilishangaa nilipoambiwa kuna kitu kinaitwa Swingers yaani kwa neno lingine swinging
Ni ngumu hata kuielezea maana wengine wataona kama ni hadithi za alinacha

Kwa kweli tuwaache na maisha yao tu
 
Ndio napendaa😊
Basi Ile juzi nilikuambia ntatoka kuupa mwili pole.
Nilitoka na rafiki yangu.
Basi Kuna Mkaka akawa ananiita nikakausha.
Mara akanifata nilipokuwa nimekaa,kaja na simu yake eti naomba uniandikie namba Yako.

Nikamjibu usiwaze! namba nakupa baada ya kulipia vinywaji tulivyokunywa hapa. So,namtuma mhudumu akuletee bill halafu atakuletea namba yangu.

Akasema sawa mtume! Si nikamtuma bhana!
Kwani alikuwa na Hela 😝😅 akashindwa kulipa bill ndogo sana na hapo ni vinywaji si chakula.

Mhudumu akaniambia amesema hana Hela😝 vinywaji vyenyewe ananunuliwa na rafiki yake 🙆.

Sijui alitaka namba yangu ya nini jamani 😜 au ya kunisaliimia oiii niaje? Mxiuuuuuuuu.

Lete Uzi wa watu kama Hawa Kazi kuharibia watu maisha 😂.
Haya tupange Sasa mtoko wetu 👯‍♂️👯‍♂️👯‍♂️🙃
 
Kumbafuuuuuuuu alikua anakuona kama tracooooooo yake 🤣🤣
Ila we nae mtu mbadi
Lete Uzi wa watu kama Hawa Kazi kuharibia watu maisha 😂.
Unasemaaa?
Haya tupange Sasa mtoko wetu 👯‍♂️👯‍♂️👯‍♂️🙃
Lini babe tutoke😍
 
Back
Top Bottom