ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,434
- 49,759
- Thread starter
- #421
Nimeona wengine kama wewe wanapenda mtengeneze ka kijiji kenu muanze kupeta ๐๐Haya maisha haya ndo mm nayataka kubabek .. raha tupu ๐๐๐๐๐๐๐
Nimeona wengine kama wewe wanapenda mtengeneze ka kijiji kenu muanze kupeta ๐๐Haya maisha haya ndo mm nayataka kubabek .. raha tupu ๐๐๐๐๐๐๐
nimesahau ni uzi wa nani nikiukumbuka nitakwambiaMimi mara zote nipo romantic for you na wengine pia ila wewe hua nakuzidishia sana Switie๐ฅฐ
Si unajua malovee yangu kwako babe๐คช
Ni uzi gani huo diha ๐คฃ๐คฃ
Hatuwezi kua lesbo bana waache dhana potofu ebooo
Fanya kurudia hicho kipengere, halafu nitumie nikifanyie upembuzi yakinifu.Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu
Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?
Sawa mahinimesahau ni uzi wa nani nikiukumbuka nitakwambia
๐ฅฐ๐ฅฐyaaaas najua jamni๐ maana sio kwa kunidekeza kule๐๐
Hatuna cha kufanya tuwaachewee binadam hawakoswi cha kusema
Eeeeh unasema mbona sitaki kuamiini ๐๐ hakuna videoKweli tembea uone
๐ฌ๐ง kila mwezi wa Sita kuna siku maalum ya kuendesha baiskeli uchi katika jiji la London.
Yaani uchi kabisa, wake kwa waume
Hiyo siku inaitwa WNBR
World naked bike ride
Sio uongo Huwezi kuwakuta weusi bali tuko pembeni ya barabara tukiangalia vituko vya dunia
Wao wanaona sawa tu na polisi wanalinda Usalama wa raia tu na Mali zao zilizo nje ๐๐๐
Una lako jambo weweFanya kurudia hicho kipengere, halafu nitumie nikifanyie upembuzi yakinifu.
Mambo ya analysis.Una lako jambo wewe
Nilijua hili swali litakuja tuEeeeh unasema mbona sitaki kuamiini ๐๐ hakuna video
Sawa ๐Mambo ya analysis.
Uliona kwa macho yako mawili ๐๐Nilijua hili swali litakuja tu
Ndio maana nimeweka na link kabisa ukachungulie hata YouTube
We kaangalie viroja huko maana unayataka ๐๐
Wenzio tuliona live
Huwezi kucheka bali utabaki mdomo waziUliona kwa macho yako mawili ๐๐
Mimi ningecheka hivi wanaume hadi wa naniliuuu kiduchu wanakuemo?
Sio rahisi hivyoKwenye daladala ingekua ni kudinyana nje nje
Dunia lol ๐Huwezi kucheka bali utabaki mdomo wazi
Kwenye baiskeli Huwezi kuona kitu zaidi ya wanawake butts and tits
Wengine ni wazee sana hadi huruma
Na wala hawajali
Nimeona kwa macho yangu tena mara mbili
Unazijua daladala za makumbusho mbezi au za gongo la mboto! Mguu hapa kiuno kule! Yaani ni unakuta kitu ishajichomekaSio rahisi hivyo
Kwa kweli kuna maajabu dunia hii mpaka unasema hivi hawa viumbe kuna kitu hawajafanyaDunia lol ๐
Kuna vioja vya kila namna
NomaUnazijua daladala za makumbusho mbezi au za gongo la mboto! Mguu hapa kiuno kule! Yaani ni unakuta kitu ishajichomeka
Huko mbele nadhani wamemaliza kila kituKwa kweli kuna maajabu dunia hii mpaka unasema hivi hawa viumbe kuna kitu hawajafanya