ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,340
- 49,609
- Thread starter
- #461
Wewe hua unakunywa nini?Tuandae bajeti yetu Sasa 😅tuwe na kibunda chetu
Wewe hua unakunywa nini?Tuandae bajeti yetu Sasa 😅tuwe na kibunda chetu
Serengeti Apple 😋Wewe hua unakunywa nini?
Ili uwe bulbul unakunywa ngapSerengeti Apple 😋
Wine 😋
kuna haja ngani ya kuvaa angali kila mtu anajua vilivyomo ndanMnyama amepewa manyoya na vimifuko vya kufunika uchi.
Huwezi kuona uume wa mnyama mpaka awe tayari kuzalisha ndio unatoka nje, hvyo kama si nguo mungu angetuwekea vimifuko ama vipochi vya kuficha nyuchi zetu.
Sasa hivi tutaambiana wenyewe 😜Ili uwe bulbul unakunywa ngap
Sawa swiiitiii🥰Sasa hivi tutaambiana wenyewe 😜
si wote wanajua ! Ina maana wewe ukiona kiongozi wako unamwona mpaka ndani.kuna haja ngani ya kuvaa angali kila mtu anajua vilivyomo ndan
aaaah kwan wew akikuuliza huyo kiongozi lilipo tumbo, mapaja, kiuno uwezi kumuonesha?si wote wanajua ! Ina maana wewe ukiona kiongozi wako unamwona mpaka ndani.
Shenziiiiii zako binti🤣Napata picha Gwaride la kijeshi lingepigwaje bila nguo.
Viongozi wangetoaje hotuba pale mbele 🙈
Sema kwa bedi weeeeee!
Sawa mkuuFikiria ingekuaje kama kulala ingekuwa mchana, Na usiku watu wanaamuka bila shaka kungekuwa na faida nyingi pia.
Kuna jambo muhimu?ShesRise_1 naomba niwasiliane na wewe falahga…uananiruhusu?
Ulivyo nipokea hadi nimeogopa….👨🏿💻Kuna jambo muhimu?
Kukupokea ?Ulivyo nipokea hadi nimeogopa….👨🏿💻
Swali lako limenitisha.Kukupokea ?
Ki vp sijaelewa
Pole😢Swali lako limenitisha.
😂😂😂👊Pole😢
😁😂😂😂👊