ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,021
- 49,072
- Thread starter
- #201
Nashindwa kuelewaaa uwiiiiiiiiiSiyo unyanyapaa mkuu
Nguo ziheshimiwe, unajua zinawafinyanga sana ma female...unaweza kuta mwanamke nguo zimemkaa, mkiingia ndani kuna vitu vinaporomoka kifuani mara kwenye matumbo howaaa paraaa
Ukianza kuvunja amri ile, unavuta hisia kama vile unavuta sigara dawa!
Haya basi sawa mkuu 😀