Mlokole yule ila wa kizazi kipyaKama ni kuacha Lilu ni actress mzuri sana. Alipotoka Segadance aliamua kuwa karibu na Mungu lakini ilikuwa acting ya muda mfupi.
Aliact kumjali mama Kanumba kama mama yake, miezi sita haikupita alimchamba mama wa watu tena Insta.
Waganga wanadinya! Kwa dhana ya kupeperusha upepo mbaya kwenye hukumu.nimejivika uhusika wa Lulu kwa kesi inayomkabili,nahisi ningekua ni mimi kabla ya hiyo tarehe13 Nov ndugu zangu wangekua wamenizika tayari kwa msongo wa mawazo
ila nampongeza kwa kuwa strong mpaka dakika hii.
Ndiyo wanaochamba watu wazima mitandaoni na kujiachia baa na waume za watu mummy?Mlokole yule ila wa kizazi kipya
Si ndio maana nasema mlokole wa kizazi kipyaNdiyo wanaochamba watu wazima mitandaoni na kujiachia baa na waume za watu mummy?
Upo? Nakusalimia!Hawezi kuwa strong wakati hajui nini majaji wataamua kuhusu maisha yake tarehe 13, kitu ambacho naamini atakua anakesha kwenye maombi kipindi hiki. Kikombe cha huyu binti ni kizito sana jamani. Namuombea alivuke salama jaribu hili tarehe 13.
Ni kweli lakini mapito anayopita kabla ya hukumu ni magumu!Anaweza akaachiwa huru kabisa
Nipo my dearUpo? Nakusalimia!
Ni malezi na mazingira aliyokulia yalimkomaza mapemaMtoto kashaanza kucheza na mijibaba tangu anavunja ungo tayari ana ujasiri wa bibi huyo, hapo unajizungumzia wewe.
Nakukumbuka sana!Nipo my dear