Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,338
12,370
nimejivika uhusika wa Lulu kwa kesi inayomkabili,nahisi ningekua ni mimi kabla ya hiyo tarehe13 Nov ndugu zangu wangekua wamenizika tayari kwa msongo wa mawazo
ila nampongeza kwa kuwa strong mpaka dakika hii.
 
Waganga wanadinya! Kwa dhana ya kupeperusha upepo mbaya kwenye hukumu.
Watumishi uchwara wanaifiligisa wamalizapo kufanya bonge moja la maombezi!
Makarani wakware ndio nafasi yao 'kuiperuzi' kwa kisingizio wanampatia nyeti kutoka kwa jaji.

Inapata 'mailegi' ya kutosha na hiyo ndio hali yake kwa sasa.

Akiwafikiria mabwana jela! Yaani hana hamu kabisaaa!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom