Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

....Umepatikana na kosa la kuua bila kukusudia, mahaka imekuona hauna hatia, imekuachia huru...!
Ama hukumu itasomwaje!
Kwa mujibu wa sheria namba..... Kifungu..... Mshtakiwa aliua bila kukusudia, na adhabu yake kwa mujibu wa sheria namba...., adhabu yaweza kifungo cha miaka....,au faini....., lakini kutokana na ushahidi......., Mahakama imeamua kumuachia huru Mshtakiwa!!!!!
 
Back
Top Bottom