Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,212
- 1,197
Habari za jumapili wanajamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa kutupwa kama wale tu wasifunga ndoa.
Kile kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe kwa sasa kimekuwa ni uongo maana watu wakidumu kwa miaka zaidi ya 3 aisee ni kumshukuru MUNGU.
Wengi sio wavumilivu kwenye hizo ndoa,uongo mwingi sana yaani mimi binafsi sijaona faida hasa ya kufunga ndoa,labda maarifa yangu ni madogo NAOMBENI MNISAIDIE FAIDA HASA ZA KUFUNGA NDOA AMBAO HAWAFUNGA WANAZIKOSA
Ahsanteni