Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Labda tusaidiane wapendwa kuna mabinti wengi hvi sasa wanafikiri wanaapoolewa wanafikiri wanapendwa zaidi kuliko wote waliowapitia...kuna mawazo tofauti na haya ila ningependa kuwajulisha madada zetu mapenzi ya kweli kwa hivi sasa sio hayako kwenye ndoa...
Usikimbilie ndoa ukihisi mapenzi yataongezeka la hasha omba mungu akupe mwenzako na awe kusudio la mungu..wengine wakiolewa hata kanisani wanaona mizigo na hiili sipendi likukute..jaribu kuchunguza sana nini maana ya ndoa na kwa nini watu wanaoana na je nini maana ya shida na raha za ndoa na utakapopata ufahamu utaweza ona je kwa hili unaweza kuhimili shida za ndoa ama raha za ndoa ama vyote kwa pamoja...
Angalizo kama unaona unaweza upande mmoja tu usikimbilie ndoa angalia tena uamuzi wako..watu wengi wanakutana na shida za ndoa bila kujua walikiri kwenye kanisa tutakuwa woote kwenye shida na raha...mbaya zaidi mnapotengana lazima mjue kifo ndicho kitakachowatenganisha na hili mmekiri kwa midomo yenu so mnapoachana muwe makni sana midomo yenu itawarudia mkiwa hapa hapa dunian
pengine uko kijana unaitaji msaada wa kumpata alietoka kwa bwana ni vyem ukaangalia mambo mbalimbali yakiwemo je unauwezo wa kumhimili mwenzio
1)tendo la ndoa
hapa namaanisha kwenye tendo la ndoa..watu wengi wamearibu ndoa zao kwa kutokuwa makini kwenye swala la ndoa..wengine wanaolewa ama kuoa wakifikiri ndoa just kukaa ndan na kupeana wine mnalala ama kuzunguka dar kwenye ma bar mkijiburudisha la hasha ndoa ni kushugulika na si kwa mume tu bali kwa mke na wote.....lazima ujue ukiwa kwenye ndoa hili jambo waweza ona alina maana laakini madhara yake ni makubwa kuliko kifo cha osama
ukiwa kama mwanandoa mtarajiwa uwe ukijua mkeo ama mumeo akiwa anaitaji tendo la ndoa ni lazima mshibishane..na kama unamnyima ujifikirie je akitoka anakoenda atakuwa salama..nasema hivi kwa kumaanisha sipendi uingie kwenye ndoa ya maneno bali ya vitendo na unachokutana nacho unakuwa umekijua na soln yake.....
2)uchumi
pengine wajiuliza kivipi..la hasha mnapoamua kuoana lazia mjue jkwamba mmefika wakati wakujua jinsi ya kuanza kujitegemea..sipendi kuona watoto wanaozaliwa kwenye viuon vya mababu zetu kama kabila moja kaskazini la hasha kama umeamua kuoa jitahdii ujiangalie je waweza kuhimili maisha ya kwako na mkeo...na kwambia hivi nikimaanisha kwa kuwa ndoa nyingi hasa mabinti wa sasa wako kifedha zaidi..watakudanganya ufungr nao ndoa ukishanasa utajuwa hii ni moto ama baridi....na ole ukakutana na uvuguvugu utajuta..so lazima uwe na kauwezo cha kutunza familia..achana na maisha ya kutegemea wazazi wako mpaka kwenye ndoa zenu..hii hali imefanya mabinti wengi kutembea nje ya ndoa na kufikiri soln ya hela iko uko la hasha utakuja na magonjwa na kuishiwa kuchekwa mitaani
3)uvumilivu
lazima ujue kabla amjaamua kuoana ujue kuna neno hapojuu hilo ukilielewa vizuri yawezekana ukawa unaishi kama uko mbinguni aiijalishi majaribu gan yatakukuta..lakini omba mungu akupe uvumilivu hasa kwenye maisha ya ndoa..ni vizuri ukajua msichana mlichukua ametoka kwa babake na mamako ambao awakuzaliwa tumbo moja na babako wala mamako..so ujue kila mtu kalelewa maisha tofauti ni wanaitaj wakati kuweza kumatch maisha yenu..so jifunzeni kuwa wavumilivu mtafaidi maisha yenu na mungu awasaidie....
4))upendo wa agape
hili swala muhimu zaidi yote..lazima mjue mkiwa kwenye ndoa msijaribu kuact upendo wenu jamani nawaasa hili kwenye ndoa ni upendo wa kweli tu ndio utakaowasimamisha nje ya hapo ndan ya miezi mitatu kama ujaribu kuact akika lazima mmoja achape lapa..simaanishi kwenu watarajiwa la hasha ila muwe makini..tumeona familia nyingi zinaoana baada ya miezi sita mitatu mmoja hata kuaga aagi na kubadili namba nakuishi tandika kabisa ama mbagala asionekane alipo..ni vigumu kujua ila kuna mambo mengi wanandoa mnakuwa mmefichana ..so hili litawezwa tu kama mmoja ataweza kuwa chini wakakti mwenza akiwa juu..zaidi ya hapo lazima mfanyike comedy na hili limefanya makanisa mengi hivi sasa yanatumika kama sehemu ya kufanyia movie kwenye ndoa za watu na si kufunga ndoa kama zamani watu wajuavyo....kuna mtu alifunga ndoa ofisini kwetu nawapa mfano tu alikaa na mkewe mwezi wa kwanza wa pili akamwambia nataka 1,2,3,4,5,6 tuandike mr na mrs jamaa akasema wala aina shida ila mbona mapema alipoaribu jamaa akamwambia na mimi 7,8,9,10,11 tuandike mr n mrs wee wee yule binti kwanza alichofanya nikumwonyesha alikuwa anakunywa na uwezi amini wamekaa kwenye maurafiki zaidi ya miaka 3 wa nne akaingia king ..ikala kwakwe..yule mwanamke akadai hizo mali za urithi baba na mamake walikufa wakwachia na kakake..jamaa akasema imefika wakati umetoka kwa kakako uko kwako chukua chako tuandikishe..yule binti alikuwa mlevi mbwa ..jamaa ilimchukua masaa 48 kujipa visa ya kuondoka nyumba ile akaacha kila kitu ..ni masikitiko makubwa ingawa alimpenda kweli uku binti alikuwa na lengo lake lilipotimia ..akusita kumwonyesha moto wake..sitaki ikukute wewe...
Mwisho nawatakia tena ndoa njema zenye kusudi la mungu msikubali kuoa ama kuolewa kwakuwa mumeo ana pesa ama mkeo kafumuka basi huyu nitatesea watu weeeeeeeeeeeeeeeeee watakutesa zaidi pale kinondoni cementry
kila la kheri!!!!!