MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
- Thread starter
- #21
Unyimwe vyote siyo akili....Ukizoea kulala kwenye nyumba ya nyasi siku ukilala nyumba ya Bati utaona Ni kelele
Unyimwe vyote siyo akili....Ukizoea kulala kwenye nyumba ya nyasi siku ukilala nyumba ya Bati utaona Ni kelele
aisee.. kumbe..Ni sawa na kupiga dry
Aaaah mkuu, nioe kisa kupikiwa ???Muoe huyo dada
Njoo tukupatie dada umtunze... oa ule kwako. Wenzio tunakula hivyo kila leo yenye uhaiAaaah mkuu, nioe kisa kupikiwa ???
Japo wanawake wa Zanzibar ni very loyal khaa!
Sijui ni dini au wanafundwaje aisee, mbona wako tofauti na huku Bara ??
Aaaah ninyi mna kasumba ya kubagua sisi Wakristo, tena mkisikia ni kutoka Bara.Njoo tukupatie dada umtunze... oa ule kwako. Wenzio tunakula hivyo kila leo yenye uhai
Unajua hiki kitu me pia sijawahi kuelewa... kwann wali wa msibani unakuaga mtamu sana kuliko hata wali wa harusini?? LoL.
Kwenye msiba wa bibi yako ndio mlivyowafanyia watu hivyo?Maji waliyooshea maiti.....
Kwenye msiba wa bibi yako ndio mlivyowafanyia watu hivyo?
Ushindwe na ulegee shetan wa mguu mmoja weee,Ndio, hata kwenye msiba wa MAMA yako napo mliwafanyia watu hivyo.
Ushindwe na ulegee shetan wa mguu mmoja weee,
Sura kama mkaanga sumu.
Siamini leo nimekutana na jichawi live bila chenga.Ilifanyika bila ya wewe na wenzio kujua
MKUU hapo Ni Mapishi yako tuWasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Wali mtamu
1. Wa Mkaa
2. Gas
Wali wa rice cooker nakula nikienda kwa watu maaa siupendi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kupika mkuu
Mkuu ule wa mkaa ndiyo naukubali hadi kesho yani....Mk MKUU hapo Ni Mapishi yako tu