Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,174
- 30,653
Hiyo ni kazi ya kuku kuumba kifaranga.Aisee, sawa basi ebu anza na kuumba hata kifaranga cha kuku 😄
Mimi kazi yangu ni kuumba watoto.
Hiyo ni kazi ya kuku kuumba kifaranga.Aisee, sawa basi ebu anza na kuumba hata kifaranga cha kuku 😄
Nithibitishe kwa kutumia fikira na hisia ambazo hazitumii logic? Kumbe ni mzito kidogo, huelewi mambo. Ok.Unazidi kupanua wigo wa mambo ambayo huwezi kuyathibitisha kivyovyote vile , kama unakataa thibitisha uwepo wa roho na mwanamke kujifungua mtoto bila kufanya ngono kwa kutumia hizo fikira na hisia ambazo hazifuati logic.
Incubator za kutotolesha vifaranga unazijua?Wewe akili zako zimekuwezesha kutengeneza uhai hata wa kifaranga cha kuku?
Neil Armstrong, Buzz Aldrin unawajua?Hizo nyota unazoziona kila siku umeshawahi hata kuisogelea nyota ya karibu zaidi?
Unajuaje na unathibitishaje hii mifumo ilisetiwa na kuwekwa?Kwa hiyo kwa akili zako hizo unamhoji aliyeset na kuweka hiyo mifumo?
Hawezi kuja kujiongelesha kwa vile Hayupo.Kwamba aje kwako ajiongeleshe ili ujue kwamba yupo?
Mbona unalazimisha ubishi usiokuwa na tija? Hiyo oksijeni na aliyeset huo mfumo mzima wa maisha ni mjomba wako? Unajua wakati mwingine elimu ni muhimu sana, hususan sayansi. Haya mambo ungepata elimu japo kidogo wala usingepoteza muda kuhoji upuuzi.Oksijeni ipo.
Thibitisha Mungu yupo.
Sio kuunganisha vitu vilivyopo na kutaka kuvi husishanisha na Mungu asiyekuwepo.
Oksijeni haina uhusiano wowote ule na uwepo wa Mungu.
Kwa hiyo kuku alienda kusomea jinsi ya kuumba vifaranga? Na yeye alitoka kwenye chuma? Unawaza kwa kutumia ubongo au matope?Hiyo ni kazi ya kuku kuumba kifaranga.
Mimi kazi yangu ni kuumba watoto.
Leta uthibitisho kwamba oksijeni imesetiwa na huyo mungu.Mbona unalazimisha ubishi usiokuwa na tija? Hiyo oksijeni na aliyeset huo mfumo mzima wa maisha ni mjomba wako?
Unajua wakati mwingine elimu ni muhimu sana, hususan sayansi. Haya mambo ungepata elimu japo kidogo wala usingepoteza muda kuhoji upuuzi.
Kama vitu havitumii fact kuvielewa ni dhahiri hivo vitu havipo.Roho ni MUNGU. na nimekupa na sifa za roho. Sasa jiongeze boss.
Ulimwengu wa kiroho ni makazi ya mambo yote ya kifikra, mambo ambayo huwezi tumia fact kuyaelezea. Mambo ambayo huwezi yathibitisha kisayansi.
Na huyo Mungu alitoka kwenye pua yako?Kwa hiyo kuku alienda kusomea jinsi ya kuumba vifaranga? Na yeye alitoka kwenye chuma? Unawaza kwa kutumia ubongo au matope?
Ndiyo maana nasema elimu ni muhimu. Incubator zinatotolesha kwa theories ambazo ni scientific ambazo zinadhihirisha uwepo wa Mungu, kama unabisha basi tengeneza kifaranga chako bila kutotolesha!Incubator za kutotolesha vifaranga unazijua?
Neil Armstrong, Buzz Aldrin unawajua?
Unajuaje na unathibitishaje hii mifumo ilisetiwa na kuwekwa?
Au unafosi mafikirio yako kwamba hii mifumo iliwekwa.
Una ushahidi gani kwamba hii mifumo iliwekwa?
Hawezi kuja kujiongelesha kwa vile Hayupo.
Ninyi ndio mnamsaidia huyo Mungu kuongea kwa vile yeye hayupo kujiongelea mwenyewe.
Havipo sasa umevifahamu vipi? Unatafsiri vipi kisichokuwepo akilini mwako? Unless tafsiri ya kutokuwepo kwako ni kutoshikika, kutokuonekana.Kama vitu havitumii fact kuvielewa ni dhahiri hivo vitu havipo.
-mungu anatumia akili zake kufanya nini na unakadiria IQ yake ni ngapiNazungumzia Akili za Mungu na utendaji wake
Zina dhihirisha kivipi uwepo wa huyo Mungu?Ndiyo maana nasema elimu ni muhimu. Incubator zinatotolesha kwa theories ambazo ni scientific ambazo zinadhihirisha uwepo wa Mungu
Na wewe unadhani huyo Mungu wako alitokea tu from nothing?, kama unabisha basi tengeneza kifaranga chako bila kutotolesha!
Akili zako ndogo sana, Nikajua walau utazungumzia Voyager 1 & 2 ambazo zimeenda mpaka interstellar mission, unazungumzia Neil Armstrong aliyefika hapo mwezini ambapo haifiki hata robo ya robo ya robo ya robo ya robooooo ya alpha centauri ambayo ndiyo nyota ya karibu zaidi!
Kwa hiyo unadhani hii mifumo imejianzisha tu yenyewe na kujiset in motion?
Ndiyo maana nasema elimu tu ndicho kitu umekosa! Hata gravity ambayo inakushikilia wewe usidondoke haipo kwa bahati mbaya! Ni akili kubwa mno imetumika! Achilia mbali hizo DNA na RNA! Unazungumza nini wewe!
Hebu nielekezeMbona tunapangiana kwamba naamini nisichokijua! Namjua Mungu lakini natambua akili zake hazichunguziki! Usipende kuforce mambo, kama hauelewi jambo tulia uelekezwe ujifunze na mwisho wa siku ukubali na uongeze hekima.
Usiforce kila mmoja atumie matope kufikiria kama wewe alafu unajiita great thinker 😄 kumbe unahitaji elimu! Unasema sina uhakika na nimekupa facts na uthibitisho juu ya uhusika wake, bado unakuwa mbishi! Kuku hana history ya miaka milioni 200 wakati ulimwengu ulikuwepo miaka bilioni 14 iliyopita! Haujui sayansi hata kidogo?Na huyo Mungu alitoka kwenye pua yako?
Unafosi Mungu kiumbe cha kufikirika kiliumba dunia halafu huna uthibitisho wala uhakika.
Hakuna ulazima wa kwamba kifaranga kiliumbwa kama ilivyo kwa unavyo amini Mungu haku umbwa.
Hata kifaranga hakija umbwa.
Whats the Science behind incubation process? Kwamba wameunda DNA na RNA zao wenyewe wakatengeneza yai na wakatengeneza kifaranga? Unakuwa na ako ndogo sana kuhindwa kuelewa concept ndogo kama hizi alafu unadiriki kuhoji akili za Mungu 😄😄Zina dhihirisha kivipi uwepo wa huyo Mungu?
Mungu anahusikaje kwenye incubator?
Au unapachika vikolombwezo vyako visivyo kuwepo kutaka kufosi mawazo yako uchwara.
Na wewe unadhani huyo Mungu wako alitokea tu from nothing?
Wapi umetoa uthibitisho wa uwepo wa Mungu?Usiforce kila mmoja atumie matope kufikiria kama wewe alafu unajiita great thinker 😄 kumbe unahitaji elimu! Unasema sina uhakika na nimekupa facts na uthibitisho juu ya uhusika wake, bado unakuwa mbishi! Kuku hana history ya miaka milioni 200 wakati ulimwengu ulikuwepo miaka bilioni 14 iliyopita! Haujui sayansi hata kidogo?
Aliyekwambia kwamba DNA na RNA zimeumbwa ni nani?Whats the Science behind incubation process? Kwamba wameunda DNA na RNA zao wenyewe wakatengeneza yai na wakatengeneza kifaranga? Unakuwa na ako ndogo sana kuhindwa kuelewa concept ndogo kama hizi alafu unadiriki kuhoji akili za Mungu 😄😄
Kwa hiyo vimejitokea tu vyenyewe?Wapi umetoa uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
Wewe unahusishanisha vitu ambavyo vipo tayari kwa kufosi kwamba vimeumbwa na Mungu.
Mungu ni nini?
Mungu huyo kabla ya kuumba Dunia alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Ni kweli binadamu anachakata, hao wanyama wengine una uthibitisho gani kwamba hawachakati?Tatizo lako mkuu umekaza fuvu,
Mtu anahisia na maono(uwezo wa kuchakata mawazo), mnyama hana huo uwezo wa kuchakata mawazo.
Uthibitisho ni hivi tunavyopishana kutoa hoja lengo likiwa ni kupata majibu. Mnyama hana huo uwezo.