Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 919
- 2,516
Hizi story za babeli ni upuuzi mtupu, inawezekana ndio watu walijenga lakini kusema walitaka kwenda kwa Mungu ni ujinga na upumbavu mkuu. Na kuamini Mumgu aliwapiga Lugha tofauti wasimfikie ni uzwazwa. Hebu fikiria kati ya mnara wa babeli na Space Rocket kipi kinaenda mbali mawinguni, kama mnara wa babeli ulikuwa tishio kwa MUngu iweje hizi rocket kaziacha au alihamia mbali na alipokuwa anaishi zamani. Uliwahi kujiuliza kabla mzungu hajagundua ziwa Viktoria watu wa Mwanza na huko Kenya na UGanda walikuwa hawajui kama lipo?